ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
- Thread starter
- #261
nadhani alimaanisha gharama ya kuchimba mita moja ardhini ni TZS 50,000Kumbe mwalimu wangu alikuwa boya, alinifundisha eti mita 1,000 sawa na kilomita moja! Huku nakuta watu wanachimba kisima mita 50,000! Yaani kilomita 5 kwenda chini ya ardhi! JF imenifumbua macho na masikio.