Nini hasa kinafanya gharama za kuchimba kisima kuwa mil 8, 10, 12? What is so special?

Kumbe mwalimu wangu alikuwa boya, alinifundisha eti mita 1,000 sawa na kilomita moja! Huku nakuta watu wanachimba kisima mita 50,000! Yaani kilomita 5 kwenda chini ya ardhi! JF imenifumbua macho na masikio.
nadhani alimaanisha gharama ya kuchimba mita moja ardhini ni TZS 50,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…