Nini hasa kinafanya mtu anabadilika sura au mwili kwa haraka?

Nini hasa kinafanya mtu anabadilika sura au mwili kwa haraka?

Kuzeeka ni sawa ni normal body physiology ila jiulize kwa nini watu wa umri mmoja speed yao ya kuzeeka ina tofautiana. Wewe na degree yako ya Sosholojia usitake kila mtu awe kama wewe wengine ni degree holder kwenye mambo mengine. Think Critically.
Soma hiyo sentence niliyosema nakuongezea halaf utajua kwann nimetumia neno kuzeeka Hali yakuwa kwenye Uzi wako hukutumia neno Hilo.

Pili sina hata form 4 maana nngekuwa na hiyo unayoita degree nisingejiuliza swali la mtindo huo ulilouliza wewe
 
Kuna mdada nilikuwa namzimia kinomaaa sasa tulipoteana miaka mingi, juzi nimemuona nimebaki kumshangaa tu.

Yeye alinisalimu lakini naitikia ile salamu kama nipo ndotoni, nakumbuka alivyokuwa slay queen nilimtongoza mwaka mzima. Alikuwa ana nikataa lakini juzi naona meno nusu hana mwili kama kitunguu maji uso hauna furaha wala ule uzuri haupo tena.

Mpaka leo najiuliza nini kimemfika
 
Mkuu hiyo ni aging no matter what style utayotaka kuiweka. Aging ina driving factors zake, mainly genetically, economically, environmentally, socially etc. We ongezea unazotaka nawewe mi nimeishia hapo.
 
Sawa sawa mkuu
 
Back
Top Bottom