Nini hasa kusudio la Rais Samia kutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi?

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!

Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
 
Sisi watazamaji tu. Kuteua siyo kazi. . Kazi kuwasimamia hao mawaziri.
 
Hii nchi ya kijani isha laaniwa huyo sson watu wana mchoka
 
Amefanya vizuri ni Wizara kubwa sana,ni kama ilovyokuwaga Nishati na Madini.

Wizara zote mbili ni nyeti na Zina matilioni ya Shilingi Kwa hiyo kuiacha Kwa mtu mja sio sawa.
 
Uchukuzi ba ujenzi vimekuwa sana kipindi hiki, lazima zitenganishwe kuwa na ufanisi.
 
Ulaji, kuwapa watu ulaji,
 
Yeye anapokea maelekezo, matokeo yake tunakoenda kila idara itakuwa ni wizara
Huu ujinga mnaorudiarudia wala hauna mantiki....

Hivi kweli mtu mwenye "presidential decree" apokee maelekezo ?!!!

Nani huyo ana uthubutu huo?!!

Hivi ninyi nafasi ya urais wa JMT unafananisha na urais wa Simba na Yanga?!!! [emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…