Nini hasa kusudio la Rais Samia kutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi?

Huu ujinga mnaorudiarudia wala hauna mantiki....

Hivi kweli mtu mwenye "presidential decree" apokee maelekezo ?!!!

Nani huyo ana uthubutu huo?!!

Hivi ninyi nafasi ya urais wa JMT unafananisha na urais wa Simba na Yanga?!!! [emoji15][emoji15]
Mjinga mumeo
 
Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!

Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
Ili jamaa aendelee kukazia DP
 
Kupitia Jamii Forums nilicho jifunza ni kuwa ukifanya chochote wapo watakao kuunga mkono na wapo watakao pinga.
Hivyo basi nikiwa kiongozi wa nchi hii ntafanya mema kwa utashi wangu kwa kuangalia maslahi mapana ya watu wengi na kupuuza maslahi binafsi ya wa chache
 
Hiyo wizara ya uchukuzi kwa sasa ibadilishwe jina iitwe wizara ya Dpworld.
 
Kupitia Jamii Forums nilicho jifunza ni kuwa ukifanya chochote wapo watakao kuunga mkono na wapo watakao pinga.
Hivyo basi nikiwa kiongozi wa nchi hii ntafanya mema kwa utashi wangu kwa kuangalia maslahi mapana ya watu wengi na kupuuza maslahi binafsi ya wa chache
ndoto hzo umri ushakutupa mkono
we fanya uje saiti tubebe tofari
 
Huu ujinga mnaorudiarudia wala hauna mantiki....

Hivi kweli mtu mwenye "presidential decree" apokee maelekezo ?!!!

Nani huyo ana uthubutu huo?!!

Hivi ninyi nafasi ya urais wa JMT unafananisha na urais wa Simba na Yanga?!!! [emoji15][emoji15]
Mkuu over expectation kwa jambo lolote huzaa imani kali ujue!

Hao wanaosema hayo ungewatafakari kwa kina ili uione mantiki yao.

Labda nikuulize, kuendelea kuwakumbatia Mawaziri mzigo wanaopigiwa kelele na wananchi kutokana na kufanya madudu na kwamba hawafai hata kwa kulumangila, kwa nini hawaondoshi kang'ang'ania kuwaatamia?

Yangelikuwa ni maamuzi yake bila shinikizo toka sehemu nyingine angelipanga safu yenye kukidhi matakwa ya raia na nchi.

Watu wanaopigiwa kelele lakini kwanza, yeye yupo mkuwabadilishia Wizara tu!

Kama haongozi kwa maelekezo toka chanzo kingine ni nini?
 
Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!

Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
Ametenganisha kwa sababu Ujenzi sio suala la muungano ila uchukuzi ni suala la muungano

Tazama hapa chini

11. Bandari, Mambo yanayohusika na Usafiri wa Anga, Posta na SimuUsafiri wa majini umeboreshwa kwa kuwaruhusu watu binafsi kutumia vyombo vyakisasa kusafirisha wananchi wa pande zote mbili kati ya Bandari za Dar es salaam,Tanga, Zanzibar na Pemba. Hali kadhalika hali ya mawasiliano ya simu imeendeleakukua kwa kasi kubwa katika pande zote mbili za Muungano. Mfano matumizi ya simu5za viganjani na Makampuni ya simu hizo yanafanya kazi pande zote za Muungano bilavikwazo.Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni sekta ya usafiri wa majini ni miongoni mwamambo 22 ya Muungano.

The man is there to stay based on that context!!!
 
Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!

Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
Kusudi la pili ni hili hapa chini tafakari

17. Usafiri na usafirishaji wa angaHatua mbalimbali zimechukuliwa kuimarisha sekta ya usafiri wa anga hii ikiwa nipamoja na kuuboresha uwanja wa ndege wa Zanzibar, kufungua Ofisi ndogo yamsaidizi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Zanzibar na kuruhusu mashirika ya watubinafsi kuendesha biashara ya usafiri na usafirishaji. Aidha, suala la usimamizi, udhibitina Sera ya usafiri na usafirishaji wa anga vimeendelea kusimamiwa na kuratibiwa vizurikatika sura ya Muungano.
 
Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!

Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
Ujenzi siyo jambo la Muungano
 
Hili lipaswa kufanywa siku nyingi sana, Uchukuzi ni sekta pana sana kama ikasimamiwa vizuri huenda ikawa na mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya nchi

Ingelipa sana Kama ingeenda sambamba na viwanda vya uzalishaji mali na mashamba ya kisasa ya uzalishaji mali ghafi.
 
Kwangu binafsi Mama angeamua kuachana kabisa na watu wa "Msoga" na kuja na safu yake mpya angeweze kutoka hapa alipo kuliko kuendelea kuwa na watu wa "msoga"

Itakuwaje Kama nae ni mwana mtandao?

Hivi kipindi cha Ex President Kikwete, huyu current President pale Ikulu alikua anahudumu kitengo gani? Kipindi kile kina Mzee Mbowe wanaonekana wanakunywa juice na samosa Ikulu?

Inawezekana Boys2Men walikua ni wale Jamaa peke yao ama walikua na background performers?
 
Ni kitu gani hasa umeona labda kinakwamishwa au kiliwah kukwama sababu kuu ikiwa Idara hizo ziko pamoja.

Uchukuzi ikijitegemea na sera za uzalishaji mali ghafi, bidhaa za matumizi na kilimo cha chakula zikiimarishwa, itakua ni mmoja kati ya wizara zitakazobeba uti wa mgongo wa nch hii.

Mafanikio makubwa zaidi yatapatikana kwa ushirikiano na uwajibikaji kati ya Uchukuzi & Uwekezaji.
 
Kupitia Jamii Forums nilicho jifunza ni kuwa ukifanya chochote wapo watakao kuunga mkono na wapo watakao pinga.
Hivyo basi nikiwa kiongozi wa nchi hii ntafanya mema kwa utashi wangu kwa kuangalia maslahi mapana ya watu wengi na kupuuza maslahi binafsi ya wa chache

Na utafanya bora zaidi ukizingatia maslahi ya taifa zaidi maana watu hufa ila nchi huendelea.

Kila la kheri.
 
Huu ujinga mnaorudiarudia wala hauna mantiki....

Hivi kweli mtu mwenye "presidential decree" apokee maelekezo ?!!!

Nani huyo ana uthubutu huo?!!

Hivi ninyi nafasi ya urais wa JMT unafananisha na urais wa Simba na Yanga?!!! [emoji15][emoji15]
Kwa speed iliopo, bila katiba mpya, marais hao wawili watampiku wa kwanza.
 
Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!

Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
Hana alijualo huyuo mama amefanya fanya fanya tu ilimredi liende
 
Back
Top Bottom