Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mjinga mumeoHuu ujinga mnaorudiarudia wala hauna mantiki....
Hivi kweli mtu mwenye "presidential decree" apokee maelekezo ?!!!
Nani huyo ana uthubutu huo?!!
Hivi ninyi nafasi ya urais wa JMT unafananisha na urais wa Simba na Yanga?!!! [emoji15][emoji15]
Ili jamaa aendelee kukazia DPBado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!
Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
Hiyo wizara ya uchukuzi kwa sasa ibadilishwe jina iitwe wizara ya Dpworld.Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!
Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
ndoto hzo umri ushakutupa mkonoKupitia Jamii Forums nilicho jifunza ni kuwa ukifanya chochote wapo watakao kuunga mkono na wapo watakao pinga.
Hivyo basi nikiwa kiongozi wa nchi hii ntafanya mema kwa utashi wangu kwa kuangalia maslahi mapana ya watu wengi na kupuuza maslahi binafsi ya wa chache
Sio mama, sema mama Abdul.Kwangu binafsi Mama angeamua kuachana kabisa na watu wa "Msoga" na kuja na safu yake mpya angeweze kutoka hapa alipo kuliko kuendelea kuwa na watu wa "msoga"
Hahahahandoto hzo umri ushakutupa mkono
we fanya uje saiti tubebe tofari
Mkuu over expectation kwa jambo lolote huzaa imani kali ujue!Huu ujinga mnaorudiarudia wala hauna mantiki....
Hivi kweli mtu mwenye "presidential decree" apokee maelekezo ?!!!
Nani huyo ana uthubutu huo?!!
Hivi ninyi nafasi ya urais wa JMT unafananisha na urais wa Simba na Yanga?!!! [emoji15][emoji15]
Ametenganisha kwa sababu Ujenzi sio suala la muungano ila uchukuzi ni suala la muunganoBado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!
Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
Kusudi la pili ni hili hapa chini tafakariBado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!
Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
Ujenzi siyo jambo la MuunganoBado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!
Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally Possi kwaiyo wamehama na Bandari zao za kwenye IGA.
Hili lipaswa kufanywa siku nyingi sana, Uchukuzi ni sekta pana sana kama ikasimamiwa vizuri huenda ikawa na mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya nchi
Kwangu binafsi Mama angeamua kuachana kabisa na watu wa "Msoga" na kuja na safu yake mpya angeweze kutoka hapa alipo kuliko kuendelea kuwa na watu wa "msoga"
Ni kitu gani hasa umeona labda kinakwamishwa au kiliwah kukwama sababu kuu ikiwa Idara hizo ziko pamoja.
Kupitia Jamii Forums nilicho jifunza ni kuwa ukifanya chochote wapo watakao kuunga mkono na wapo watakao pinga.
Hivyo basi nikiwa kiongozi wa nchi hii ntafanya mema kwa utashi wangu kwa kuangalia maslahi mapana ya watu wengi na kupuuza maslahi binafsi ya wa chache
Kwa speed iliopo, bila katiba mpya, marais hao wawili watampiku wa kwanza.Huu ujinga mnaorudiarudia wala hauna mantiki....
Hivi kweli mtu mwenye "presidential decree" apokee maelekezo ?!!!
Nani huyo ana uthubutu huo?!!
Hivi ninyi nafasi ya urais wa JMT unafananisha na urais wa Simba na Yanga?!!! [emoji15][emoji15]
Wenye nchi hao, japo marefu yao yana ncha.Watu ni wale wale, wanabadirishana tu!
Takataka
Hana alijualo huyuo mama amefanya fanya fanya tu ilimredi liendeBado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi!