Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hmm...mengine yatakuwa lost in translation hapa lol..
Ukianza kutafsiri neno kwa neno toka Kiingereza kwenda Kiswahili unaweza usipate maana sahihi. Na nadhani ndicho ulichofanya kwenye hiyo tafsiri yako ya crimes against humanity. Angalia hata muundo wake ulivyo.
Hadhi siyo status? Kwangu hadhi inakaribiana zaidi na status kuliko dignity.
Aisee Erasto Mpemba amepatikana, atakuwa mzungumzaji kwenye TedxDar - cheki profile yake hapa: TEDxDar
Kavumbua nini safari hii?
Mimi sina tafsiri wala definition ya utu. Siijui. Na siondoi uwezekano wa kuwa huo utu wenyewe sina au ulishapotea kitambo.
Ninachosema mimi ni kuwa hakuna universal definition ya utu. Kila mtu anaejua tafsiri au definition ya utu, anayo yake kwa sababu ya athari ya vitu vilivyomzunguka katika maisha yake.
Chukulia mfano huu: Mnyama akiuguwa akawa anateseka na hakuna uwezekano wa kupona, ni utu kumuuwa haraka iwezekanavyo lakini tunaambiwa si utu kumuuwa binaadamu anaeteseka kwa maradhi licha ya kuwa hakuna uwezekano wa kupona. Tunaambiwa kuwa ni utu zaidi kumuacha akiteseka kwa vile utu wetu unataka tuweke matarajio kuwa atapona
Utu ni nini?
Hello AD, samahani kwa kuchelewa kurespond nilikuwa safarini these last two days and it was for some busy thing hata laptop sikuweza kuigusa
All in all, unaweza kunisaidia kulifafanua hili swali vizuri kujua ni nini unataka kufahamu?
Thanks
The question still is how common and standards are these "common standards of achivements" ???
Dignity na utu? Daah
Dignity si inahusiana na heshima na taadhima? Au nimekosea?
Usijali kwa kuchelewa Cathode Rays... na naona ni zamu yangu ya kuomba huo msamaha wa kuchelewa....
Well simply nilitaka hili swali ulo pose ujibu as in according to your understanding and Point of view... basing on red...
......Article 18...everyone has the right to freedom of thought, conscience and religion; this right includes freedom to change his religion or belief, and freedom, either alone or in community with others and in public or private, to manifest his religion or belief in teaching, practice, worship and observance
... Unconclusively, Utu unaweza kutuchukua miaka 100 kutafuta common definition but "it just take a second to live it"
Akiongelea Utu, Dr. Martin Luther King Jr. alipata kusema hivi;
"Mtu anacho kimo kirefu ambacho chaweza kufikia viwango vya mbinguni, lakini pia anacho kina kirefu kinachoweza kufika umbali kuzimu ilipo"
Tafsiri katika kiswahili ni yangu/si rasmi.
Nakubali! The best statement ever!!
@ Gaijin.... Nataka nisikie Gaijin ansemaje ... Akikubali hata kwa 2% .. I count the discussion closed!!
Azimio Jipya na wengine wote mliochangia, ahasanteni sana, hasa kwa kutohukumiana hata pale yalipoulizwa masuali ya kizushi. Naamini sote tumenufaika kwa namna moja au nyengine kwenye mjadala huu.
Rest assured kuwa Gaijin anakubaliana na zaidi sana ya 2% ya kilichozunguzwa na Cathode Rays pamoja na wengine
Azimio Jipya na wengine wote mliochangia, ahasanteni sana, hasa kwa kutohukumiana hata pale yalipoulizwa masuali ya kizushi. Naamini sote tumenufaika kwa namna moja au nyengine kwenye mjadala huu.
Rest assured kuwa Gaijin anakubaliana na zaidi sana ya 2% ya kilichozunguzwa na Cathode Rays pamoja na wengine
Duh! You're so mean. LOL.
Zaidi ya asilimia 2 tuu?
Nilidhani asilimia 98?
Nimejifunza mengi sana kwenye huu mjadala.
Na maswali yako (whether ya kizushi or not) yalifanya tuumize vichwa ile mbaya.
Wewe ni mwalimu or have you been a teacher before?
hahahaaaa.........Nahisi mkuu Gaijin alianza kwanza kuwa mwalimu wa MEMKWA then akajitutumua kwa juhudi probably sasa he is heading to be Associate Professor
Pongezi zangu za kipekee kwako kwa kuwa "mchokoza mjadala" kwa kuuliza maswali yenye kutaka kutafakarisha zaidi....lakini pia kwa mwenyekiti wa kigoda hiki EMT na wachangiaji wote
Duh! You're so mean. LOL.
Zaidi ya asilimia 2 tuu?
Nilidhani asilimia 98?
Nimejifunza mengi sana kwenye huu mjadala.
Na maswali yako (whether ya kizushi or not) yalifanya tuumize vichwa ile mbaya.
Wewe ni mwalimu or have you been a teacher before?