Nini hasa maana ya utu?

Nini hasa maana ya utu?

Gaijin umeweka Hoja ya Rioba ... ukaishia BILA HATA NENO ...lakini ninamuhOji Rioba kama ifuatavyo.

Kwanza kuhusu swala na kuku mtu ...au mtu sokwe na kadhalika ... anataka kueleza nini hawswa?

Kwamba mtu kakosa uasili wake ambao ni utu ... na kujivika ..uasili wa ..mnyama ..kama kuku?

Kama ikiwa ni hivyo anamaana mwanadamu anaweza kujishusha thamni hadi kujilinganisha na Kuku?

Sioni kuwa hivyo ni sawa kwani kama mwanadamu kajishushia hadhi .... ni kuwa kasaliti uasili wake ...yaani utu wake ... hivyo angeitwa ..Mtu aliyepoteza uasili wake ..laikini sio Mtu Kuku!! ila Mtu asiye na Utu! au Mwandamu asiye na ubinadamu

Kuku hawezi kuuasi Uasili wake .... Hivyo Kuku hawezi Kukosea ... atakoseaje wakati hana uchaguzi WA KUWA KITU KINGINE ZAIDI YA KUKU?

Mwanadamu aliyepoteza uasili wake ... Kafanya Kosa ..

Kumlinganisha mwanadamu na Kuku ambaye hanauwezo wa kusaliti ukuku wake ni kumpa mwandamu sifa asiyo stahili!

Mwanadamu aliyepoteza utu au uasili yake yafaa awe daraja la chini zadi ya kuku ..kwani kuku yuko juu ..tena juu sana kwani yeye kamwe hawezi kujisaliti uasili wake ...

Mwanadamu aliyekosea na kuusaliti usali wake kamwe hawezi kufananishwa na hata mnyama mmoja kwani wanyama kwa uasili wao hawana uwezo wa kuusaliti uasili wao!.. ambao ni UNYAMA!!

Mwanadamu peke yake kama kiumbe hai ndicho chenye tatizo ... huwa Anaweza kutaka kuwa kama dume la ngombe simply anweza kuliona lilivyo na raha ya kuwa na "wake" wengi zizini ...

Mwanadamu anaye pata ladha ya wanyama ..na kutamani maisha yao ... huyo ni mkosaji .. na dume la ngombe ambalo mwandamu anataka kujifananisha nalo ..halikukosea chochote ..kuwa dume la ngombe na kujitwalia wake wote pale zizini.

Kumfananisha Mtu kama huyo na dume la ngombe ni kosa ..kwani ngombe huyo hajokosea ila mwandamu atakuwa amekosea...

Kilichosahihi kwa dume la ngombe ..sio sahihi kwa Mwandamu hivyo .. MKOSAJI NA ASIYE KOSA KAMWE HAWAWEZI KUWA KWENYE KUNDI MOJA!! Yaani sio sahihi kumuita mtu aliyepotoka utu na uasili yake kuwa ni mtu-Kuku!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
@ Azimio Jipya

Rioba anahoji iwapo kila mtu ni binaadamu na iwapo binaadamu wote sawa (wapo kwenye daraja moja).

Kitu gani kinachotufanya sote tuwe sawa?
 
hi Makedha...
Basi kinyume cha utu sio unyama?
Kinyume cha UTU sio unyama, mi nadhani kinyume cha utu ni kukosa utu. Na mtu hakosi utu moja kwa moja sababu unaweza kuonesha kukosa utu katika circumstance A, na ukaonesha utu katika circumstance B.

If it is, I should deduce that animals don't have that ability, shouldn't I?
No you shouldn't. Mtu is different from utu, na Unyama is different from mnyama.

But how can we know if that deduction is true?
You tell me

If this deduction is true, what are we to say about those instances where animals do seem to be deliberately arousing positive emotions in themselves and others (animal parents caring for their young, playing together, etc.)?
Are they deliberatly using their intelligence to do that to make themselves and their progenitor feel the positive emotion created by their actions or are they responding to an instinct, creating useful bonds to survive in a herd and useful skills for hunting, mating, surviving?

If it is false however and animals thus do have utu, is it right to call it "utu", "humanity", as if humans were the sole holders of this ability?
I don't know if humans are the sole holders of this hability... some quantum physicians have started to point out that even protons and neutrons have some sort of consciousness... it is hard for me to believe lakini.
Back to your question: is it right to call 'humanity' an attribute that can be observed in other beings than humans? Probably not, but it is a linguistic fact. soil is sometimes called earth... yet Mars and the moon have their own type of soil. Should it be called 'Mars' or 'soil' just because it is not on Earth?


Utu/humanity encompasses all the characteristics that make humans human and so it distinguishes us from animals and objects after all, right?
No. Humans are the only being (to my knowledge) who erect armies and equip them with weapons to go and kill other human being with no other aim than power. They sometimes don't do it to satisfy a primary need, they don't do it to secure territory, just to affirm their ideological primacy. that is something that distinguishes humans from animals, yet sio Utu. It lacks the positive aspect in it
 
SO? Do you mean if we are able to define Human Intelligence as an ability only found in Human we will have definition of UTU in Place?
No, I don't think. Makedha asked me:
Utu/humanity encompasses all the characteristics that make humans human and so it distinguishes us from animals and objects after all, right?
And I said:
No. Humans are the only being (to my knowledge) who erect armies and equip them with weapons to go and kill other human being with no other aim than power. They sometimes don't do it to satisfy a primary need, they don't do it to secure territory, just to affirm their ideological primacy. that is something that distinguishes humans from animals, yet sio Utu. It lacks the positive aspect in it
 
  • Thanks
Reactions: EMT
RR Do you want us to believe that ... GLOBAL IDEOLOGY ... Is on its way?
Hahah!! ... How will it Look Like? Na Itachukua muda gani hadi tufikie hapo?
Is global ideology gone? in certain fields yes, in others no. It will be very hard to have a global political ideology today... But it is still possible for the global population to believe in a 'universal' declaration of human rights... a luta continua (Che)
 
I've been expecting you in this discussion...
Nilisikiliza Maongezi ya Dhalai lama.. Bahati mbaya saana..... Leo finally nataka niandike something on what he said (for I don't remember maneno yake word to word) inaniambia "Am sorry an error occurred. please try again later"....lol.... Enways....
Pole darling... hii hapa:



Naamini kua ile tu kitendo cha kupromote emotions ziwe negative ama positive as opposed to zile ambazo zitaja naturally ni mtihani in it self. For hapo in other words an individual her/himself is in power of promoting and defining which are positive and which are negative emotions.... Hapa swali linakuja.... "Inakuaje pale ambapo wawili watachukulia positive emotions ya kitu kimoja oppositely?"
Nimeelewa swali lako, na niseme tu ukweli sina jibu sahihi. Na ukisoma huko juu utaona kuna mahala nilisema Segolene Royal (France) anasema kua hasira ni positive emotion kama inashituliwa na injustice (when you are mad because you have witnessed an injustice, then anger is positive). Ila mimi naamini anger is a negative emotion... who is right and who is wrong?
AshaDii, nisome tena (usichoke honey). Nimesema kua utu ni ability to use your emotions in a positive or negative way. sio hability ya kuhisi, but hability ya kutumia.
Mfano ulitoa wa slavery: how is that a good thing for your fellow human being? Vitu vingine ni subtle (kwa akili za leo, ila kesho I hope vitakua clearer) ila vingine ni obvious. Kuua ni obvious. slavery ni obvious. ila vegetarianism sio obvious. najua kua in certain circumstances animal abuse could be lack of utu. What is animal abuse? should we stop eating meat because it is not 'fair' for animals? hapo hakuna jibu, ni kila mtu ajibu kufatana na uelewa wake wa neno utu.
 
Last edited by a moderator:
@ Azimio Jipya

Rioba anahoji iwapo kila mtu ni binaadamu na iwapo binaadamu wote sawa (wapo kwenye daraja moja).

Kitu gani kinachotufanya sote tuwe sawa?

Gaijin , Mimi nafikiri Rioba kweli Amethubutu na amekwenda mbali sana ... !

Sipingi binadamu hatuko sawa kwa namna moja au nyingine ...Ninachopinga ni kumuita binadamu ...MTU KUKU au KUKU MTU ... !!

" .... Matokeo yake ni mkanganyiko mkubwa unaotokana na ukweli kwamba yeye anaigiza kama binadamu kamili lakini anafikiri kama kuku, anajikuta na maarifa kama ya kuku na hata uwezo wake wa kuiga unakuwa unalingana na ule wa kuku. Lakini bado eti hataki kabisa kujiita kuku-mtu, au basi mtu-kuku. Analazimisha aitwe mtu au binadamu. Na anaweza kupigana kwa hasira pale atakapoitwa – kwa maneno – mtu-kuku.."

Kweli hii inakubalika?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkuu hujanielewa. ninavoelewa mimi Utu sio positive emotion kama ulivo tafsiri hapo in bold, but niseme the ability to control your emotions in a way that benefit your fellow human beings (and maybe more). Kwa hiyo, wanawake kua more emotional than men doesn't mean that they are more human. It is only how they manage those emotions that could determine Utu wao. Na hii process haitakiwi kua accidental, it should be a deliberate, conscientious move.
mfano naweza kutoa ni ban alio pigwa FaizaFoxy. Naongea kama member, siongei kama mod, na wala siongei kwa jina la alie toa ban:
Maybe mod alie mpiga ban alihisi kua kwa kusema alicho sema Faiza hakuonesha compassion kwa yule victim. This means that she was unable to promote a positive emotion (compassion). Instead she promoted a negative feeling (sorry I don't remember what she said exactly). So that denotes her inability to manage her emotions in a way that benefits her fellow human beings.
Of course, this raises the debate of what is a positive emotion and what is a negative one, who decides etc. Segolene Royale said that anger is a positive emotion when it is directed against social injustice. It could be, if the anger is controled, and used in the way nimezungumzia hapo juu.
What do you think?

Kwa hiyo, utu ni uwezo wa kudhibiti hisia zako kwa manufaa ya binadamu wengine? Huoni kama hapo ume-play the other way round? I mean kwa vile wanaume wengi wana uwezo wa ku-control hisia zao basi wanaweza kuwa na utu zaidi ya wanawake? Halafu nafikiri kuwa ku-control emotions zako could be in the positive or negative way. Sasa kwa mfano mtu akishindwa ku-control his/her positive emotions then atakuwa hana utu?

Tuchukulie mfano wa mbunge mgonjwa nilioutoa. Kama wapiga kura wake wakishindwa ku-control their emotions juu ya kutokuwa na mwakilishi active wa kushughulikia matatizo yao, watakuwa wamepoteza utu wao? Au tuchukulie kitendo cha Magufuli cha kuwaambia watu wa Kigamboni kuwa kama hawawezi kulipa nauli mpya basi wapige mbizi. Hapo tunaweza kusema kuwa he was unable to control his emotions in a way that benefit his fellow human beings wa Kigamboni, which effectively kulimfanya apoteze utu wake?
 
Is global ideology gone? in certain fields yes, in others no. It will be very hard to have a global political ideology today... But it is still possible for the global population to believe in a 'universal' declaration of human rights... a luta continua (Che)

I would like to pay more attention on this ... "But it is still possible for the global population to believe in a 'universal' declaration of human rights... " Personally too ... would like to see that happening ... But looking how every thing is different at the moment , politically, economically religiously ...etc .. why do you still get the confidence that you dream will come true? How?
 
@RussianRoulette,]

Azimio Jipya,

@RussianRoulette,

RR,

Lets go back to the basic discussion...

"So use our Human Inteligence to deliberately minimize the negative emotion and promote the positive emotions."
Kwangu mimi nadhani part of the definition is just there, in bold:Utu ni ability ya kutumia Human Intelligence to deliberately promote positive actions and emotions not just for us, but mostly for people around us. Sijui mwasemaje?

... Honestly? That is my definition of UTU ... AND I don't think will change it soon! I believe it in my whole heart, that ABILITY is what makes human different from all other things in the universe! To make it much more better? Its measurable ... and objectively evaluated ... I know that there is a lot of rolling the eyes aaahhh!! ..but I believe on this!!

... Nafikiri twende na hii step by step and see if we can aswer all those questions

... What is positive and negative Emotions?

... What is that thing which Dalai Lama called Human Intelligence ?

... How can we use human intelligence deliberately to control our Negative emotions?

Do you have any Idea?
 
Last edited by a moderator:
Hello...
Kwa hiyo, utu ni uwezo wa kudhibiti hisia zako kwa manufaa ya binadamu wengine? Huoni kama hapo ume-play the other way round? I mean kwa vile wanaume wengi wana uwezo wa ku-control hisia zao basi wanaweza kuwa na utu zaidi ya wanawake?
Hoe do they control them? In this context control meant MANAGE and not just silence them. wanaume wana uwezo waku-silence their emotions. they don't use them. mara nyingi wanawake wana zi-express, and use them. when a woman is compassionate, she cries, and later she assists. she has managed the emossion. a negative emotion (pity) has ben managed in a way that it has created a positive one (assistance)... so SILENCING the emotion is not what I meant.

Halafu nafikiri kuwa ku-control emotions zako could be in the positive or negative way. Sasa kwa mfano mtu akishindwa ku-control his/her positive emotions then atakuwa hana utu?
Tuchukulie mfano wa mbunge mgonjwa nilioutoa. Kama wapiga kura wake wakishindwa ku-control their emotions juu ya kutokuwa na mwakilishi active wa kushughulikia matatizo yao, watakuwa wamepoteza utu wao? Au tuchukulie kitendo cha Magufuli cha kuwaambia watu wa Kigamboni kuwa kama hawawezi kulipa nauli mpya basi wapige mbizi. Hapo tunaweza kusema kuwa he was unable to control his emotions in a way that benefit his fellow human beings wa Kigamboni, which effectively kulimfanya apoteze utu wake?
Yes, yes, yes... umenza kunielewa na mifano yote umetoa ni mifano sahihi. maybe nikumbushe to kua earlier in this discussion nilisema kua mtu akisema: huyu mtu kakosa utu, there is a implicit part of the though that is lef, ambayo ni :katika circumstance hii.
Kwa uelewa wangu mdogo mtu hawezi kukosa utu moja kwa moja sababu hata kitendo cha kujipenda mwenyewe tayari ni utu. you are part of humanity. Utu is not a block that one posseses or lack, it is a vase that is filled and emptied. Watu walipo msema mbunge walikosa utu KATIKA CIRCUMSTANCE ILE. that does not mean that hawana utu kabisa, ila just there and then they failled to express utu wao. Kiwango cha utu wao kilikua chini, na they allowed their anger to control them. they could not manage it in a way that it creates compassion for a fellow human being ambae hakuwa na uwezo. and the same applies to our swimming monitor.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Sort like unaongelea humanity versus animality. Kwamba, ukiwa na utu basi unakuwa na characteristics za humanity lakini kama huna utu unakuwa na characteristic za animality. Je, huyu chui kwenye hii video utamweka kwenye kundi lipi?
That is why I did not want to risk saying that kinyume cha utu ni unyama... I am speechless. and this is clearly something beyond animal instinct. so yes, Human Intelligence (or to stay in the classical terminology Emotional Intelligence) is an h ability that can be found in other beings too. Kama nilivo sema quantum physicians are looking for it in matter particles... some other scientists look for it in bacteria, let alone the mammal kingdom to which this leopard belongs.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
That is why I did not want to risk saying that kinyume cha utu ni unyama... I am speechless. and this is clearly something beyond animal instinct. so yes, Human Intelligence (or to stay in the classical terminology Emotional Intelligence) is an h ability that can be found in other beings too. Kama nilivo sema quantum physicians are looking for it in matter particles... some other scientists look for it in bacteria, let alone the mammal kingdom to which this leopard belongs.

Kwa hiyo tuseme huyo chui alikuwa na sijui niite utu? LOL.
 
RR,

Lets go back to the basic discussion...

"So use our Human Inteligence to deliberately minimize the negative emotion and promote the positive emotions."
Kwangu mimi nadhani part of the definition is just there, in bold:Utu ni ability ya kutumia Human Intelligence to deliberately promote positive actions and emotions not just for us, but mostly for people around us. Sijui mwasemaje?
Well, since it came from me I can only agree with you, tusubiri wengine nao waje watoe maoni...

... Honestly? That is my definition of UTU ... AND I don't think will change it soon! I believe it in my whole heart, that ABILITY is what makes human different from all other things in the universe! To make it much more better? Its measurable ... and objectively evaluated ... I know that there is a lot of rolling the eyes aaahhh!! ..but I believe on this!!
It is fascinating that such a clear idea (to me) is difficult to be put in words. It is just in me, na nashindwa kutumia classical tools for analysis on them. It is very hard for me AJ, trust me...

... Nafikiri twende na hii step by step and see if we can answer all those questions

... What is positive and negative Emotions?
Nimesha sema hapo juu sijui namna ya kuzieleza, I just feel them and recognize them as such. I think it is those expression that make you feel undoubtedly good, nafsi yako haikusuti kabisaaaa. and you feel it is good to feel the way you do. that is the closest I can get right now, but when challenged in this idea I will probably develop a better way of defining them.

... What is that thing which Dalai Lama called Human Intelligence ?
I think so. It is sad he did not elaborate on it, but if we read him more we will find out what he meant. Any Buddhist in the house?


... How can we use human intelligence deliberately to control our Negative emotions?
A friend of mine told me I just have to recognize them when they come. recognize them, acknoweledge them, then confine them in a compartment where they cannot affect your jugement. Emotional Intelligence is not the expression of our emotions, it is management of our emotions. the outcome of a Emotional Intelligence reasoning is something positive, but quite unemotional... does this make anysence to people reading me? lol
 
@RussianRoulette, They make you feel undoubtedly good ..? You didn't specify ... Emotions zooote make you feel so?

Tuseme Emotions ni hisia ... tukubaliane kuwa kuna hisia za aina mbili

... hisia hasi na hisia chanya ... ulimaamisha zote zinakufanya ujisikie vizuri bila ubishi wowote?
 
... A friend of mine told me I just have to recognize them when they come. recognize them, acknoweledge them, then confine them in a compartment where they cannot affect your judgment. Emotional Intelligence is not the expression of our emotions, it is management of our emotions. the outcome of a Emotional Intelligence reasoning is something positive, but quite unemotional... does this make any sence to people reading me? lol

Sound interesting!!

... Emotional intelligence is not the expression of our emotions ....That means Emotional intelligence is an expression of certain thing called X ! And then what is X ..?

Nafikiri with this answer tutajua kuwa wanyama nao wana X ?

Tutajua kuwa huyo Chui wa EMT ... alikuwa anaexpress X?

AU hiyo X is only found in Human and it can be called UTU!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom