Nini hasa siri ya amani, furaha, upendo na kudumu kwa mahusiano na ndoa yako kiasi hicho?

Nini hasa siri ya amani, furaha, upendo na kudumu kwa mahusiano na ndoa yako kiasi hicho?

Binafsi Niko mpk Leo kwenye ndoa kwasababu Tu Kila kitu kwangu huwa nakiona ni chepesi.( Mambo mengi kwangu nayachukulia simple Tu).Hii inaweza kuwa weakness kwa upande mwingine lakini kwangu naona poa Tu.Jamani ndoa hazilingani Kila ndoa ina mfumo wake kwa hiyo mtu asiogope kitu asichokijua.
Hata usaliti wa mwenzi wako unauchukulia kiwepesi?
 
Chakwanza kumbuka upendo na hisia ulizonazo leo kwa mwenza wako utapungua mbeleni au kuisha kabisa kwaiyo cha kujitaidi ni kuangalia yale machache mazuri anayokufanyia mwrnza wako na kuyathamini, kuleni chakula kwenye saani moja, fanyeni mazoezi ya mwili pamoja ivi vitu viwili vinasaidia kurejesha upendo na hisia za mapenzi kati yanu ila kikubwa kwa wanaume au vijana wa kiume fungeni ndoa na mwanamke anayekupendaa wewe hutajutia maishani mwako
Si umesema upendo hupungua ama huisha kbsa, sasa hata anaekupenda si itafika wakati huo upendo hautakuwepo tena? Jazia nyama kwenye hili mkuu km utajali.
 
Sumu ya Mapenzi ni Maudhi.

Ili hudumu kwenye uhusioano either wa girlfriend/boyfriend au mke/mume.

1.Maokoto
2.Uhaminifu
3.Epuka maudhi

Ukiweza kupambana na hivyo vitu utafurahia maisha.
 
Hivi kwa nini?
Mitazamo ikitofautiana kati ya watu wawili ni changamoto sana mkuu, Hamtaweza kushirikiana ambapo ushirikiano ndio msingi mkuu wa ndoa..

Kila mmoja katika kukua kwake amesoma, ameona au amesikia mambo tofauti tofauti ambayo ndiyo yana mjenga kua yeye...

Mambo haya ndiyo yamefanya wengine wanaimini Dini, wengine wasiamini Dini, wengine wanavaa suti, wengine Jeans, wengine wanapenda biashara, wengine kilimo, wengine wanajali, wengine wanajijali....

Unapotafuta jaribu kutafuta mtu ambae walau mna mitizamo ya aina moja; i mean maono yenu, imani ya kila mmoja wenu, lifestyle ya kila mmoja wenu, mnaichukuliaje pesa, marafiki zenu wakoje, kushukuru kwenu, kuongea kwenu, kusikiliza, ujasiri, kusamehe, nidhamu yenu.. n.k

Ukichota Maji yakiwa yamoto bhasi lazima yatapoa kurudi kawaida, Ukiyachukua katika hali ya ubarafu lazima yatayeyuka kurudi tena kuwa kawaida; Yachote yakiwa katika hali yake ile ile ya ukawaida ..

You need to be Smart and wise when choosing a wife; jua unatakiwa kumlipia mahari mtu ambae mtalea watoto vizuri, mtakua bega kwa bega kwa kila hali, Mtawajibika kila mmoja kuhakikisha mna move on..

Huzuni yangu ni kwamba vijana wasasa hawa-look for that type , They're seeking for pride and pleasure; Matiti makubwa, Sura imenyooka, Takotako; Kituko sasa baada ya kuanza kuishi ndio wanagundua pleasure & pride ni 10% tu kwenye ndoa na hapo ndio vituko kama hivyo huanzia..

Mimi nimeoa ila nikikutana na wanawake wa aina hiyo nawalamba kama kawaida napita hivi, Si hawataki ndoa wanataka pesa bhana .. Tena nawapakia mkongo

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Una akili Sana
 
hadi naandika hoja hii,

kuna kundi kubwa mno la waliowahi kua kwenye mahusiano, uchumba na ndoa, lakini wanasoma ujumbe huu mahususi wa urejesho sasa, wakiwa wamasambaratika si wamoja tena na wenzi wao, hawaishi pamoja na wala hawa wasiliani tena, ni maadui wa kubwa, wenye uhasama ambao kila moja wao anaona hausatahili kusameheana...

maskini watoto kama wapo wanateseka na kufedheheka sana katika hali hiyo, dah...

ili kuwatia moyo, kuwarejeshea matumaini na mwangaza mpya kwa waliokata tamaa ya maisha, kuhuisha nafsi za ambao wana hofu sana na hawataki tena kuskia habari ya mahusiano, uchumba au ndoa tena maishani mwao,

Tafadhali mpendwe, kwa unyenyekevu mkubwa, hebu kwa ufupi kabisa tushirikishe namna ambavyo umefanikiwa kuvuka milima na mabonde, hila na giliba za waliotamani kuvunja au kuvuruga ndoa yako, namna ambavyo ulikwepa vishawishi, visa na mikasa ya kutetetesha ndoa yako, na hata sasa unaishi kwa furaha, upendo na amani kiasi hicho katika mahusiana na ndoa yako kwa muda mrefu hivyo?

Ulifanyafanyaje ladies and gentlemen, ili angalau kusaidia wachache ambao hivi sasa wako dilema na wanao suasua, wanao legalega na kukaribia kukata tamaa kwenye changamoto wanazopitia kwenye mahusiano na ndoa zao?
Ni kama ilivyo kwenye magari tu, tyre ya kushoto inaendeshwa na ile ya kulia au tyre ya kushoto mbele inazungushwa na mitambo iliyoko kulia na watu tunasafiri miles and miles, so siri ya hayo uliyosema ni lazima kuwe na master na slave, ila slave asijitambue
 
Ni vizuri kuwa na mazingira rafiki, ila sidhani kama ni vema sana kumpa uhakika namna hiyo asije akajiona 'anakumudu' akakuchukulia poa.
mbona ananijua vizuri, sichelew kumfuta kabisa dakika moja ndefu
 
Back
Top Bottom