Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Sio kazi ya CCM kutetea wanyonge bali ni kazi ya chama kinachotawala kuhakikisha nchi haiwi na wanyonge au wanyonge wanapungua katika nchi.Leo sitaandika makala ndefu kama ilivyo kawaida yangu.
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusu mtazamo wao wa ni nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika siasa za vyama vingi.
Nashawishika kuanzisha makala hii kutokana na wito wa baba wa Taifa kuwa kazi ya kutetea maslahi ya Wanyonge wa nchi hii ni kazi ya CCM.
Karibuni wadau kwa maoni
Sema kazi ya kuwatatua wanyonge ni ya CCMLeo sitaandika makala ndefu kama ilivyo kawaida yangu.
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusu mtazamo wao wa ni nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika siasa za vyama vingi.
Nashawishika kuanzisha makala hii kutokana na wito wa baba wa Taifa kuwa kazi ya kutetea maslahi ya Wanyonge wa nchi hii ni kazi ya CCM.
Karibuni wadau kwa maoni
Chama kuwa madarakani hakukuondolei wajibu wake wa kuendelea kutafiti kero, fursa na matamanio ya wananchi; kuchakata ukubwa, mahitaji na rasilimali zinazohitajika kufikia malengo hayo, kupanga njia, muda na mahali pa utekelezaji; pamoja na kutathmini na kufuatilia maendeleo ya utekelezaji.Leo sitaandika makala ndefu kama ilivyo kawaida yangu.
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusu mtazamo wao wa ni nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika siasa za vyama vingi.
Nashawishika kuanzisha makala hii kutokana na wito wa baba wa Taifa kuwa kazi ya kutetea maslahi ya Wanyonge wa nchi hii ni kazi ya CCM.
Karibuni wadau kwa maoni
Kwa wanaofanya hivyo wanakosea, muungwana anayafanyia kazi maoni ya wapinzani wake.Kuwa kada wa mbogamboga sasa hivi ni kuwa kama bodyguard wa chama. Hata kama hoja ya mpinzani ina mashiko kiasi gani, kazi yako ni kuiponda tu kwanza.