Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 879
- 1,084
Naona wanataka kupunguza wafamasia hawa sio bure mkuuBado kuna hao Pharmacy NTA level 5 sijui, nchi nzima matokeo yamepinda. Nina girlfriend wangu uko juzi kilio tu
Naona wanataka kupunguza wafamasia hawa sio bure mkuu
Me nmesikia kwa level 5 semester 2 hatari tupu naona sahivi mchawi ni kuvuka mwaka wa pili tu, na kwa upande wa c.o huko sijajua mkuu ila napo nasikia jau tupuSijajua kwa upande wa course nyengine....lakini kwa clinical medicine ndio najua
Me nmesikia kwa level 5 semester 2 hatari tupu naona sahivi mchawi ni kuvuka mwaka wa pili tu, na kwa upande wa c.o huko sijajua mkuu ila napo nasikia jau tupu
Yeap naona nacte wameamua kukaza fuvu sijui wanalenga kitu gani?Yan Co ni balaaa....lakini level 6 na 4 wao wametelezaa tuu
Hiyo iliyovuja ni level 5 au 6. Ila uvujaji wa hivi ni wa kifala sana, yani hakuna chuo hii mitihani hawajapata.Level 5 mitihan yao yote ilivuja tena ule mvujo konki peper zote from section A hadi mwisho...ndio tatizo na wizara imejua...mbaya zaidi watu wamekutwa na vimbwa wengi tuu
Hiyo iliyovuja ni level 5 au 6. Ila uvujaji wa hivi ni wa kifala sana, yani hakuna chuo hii mitihani hawajapata.
Famasia naona NACTE na regulator wao wamekaza sana. Kuna vyuo waliofaulu sio hata 10% ya waliosajiliwa kwenye mtihani
Me naona kama serikali ina mpango wa kupunguza watu wa pharmacy waana vyuo now days vimekua vingi mnoHiyo iliyovuja ni level 5 au 6. Ila uvujaji wa hivi ni wa kifala sana, yani hakuna chuo hii mitihani hawajapata.
Famasia naona NACTE na regulator wao wamekaza sana. Kuna vyuo waliofaulu sio hata 10% ya waliosajiliwa kwenye mtihani
Me naona kama serikali ina mpango wa kupunguza watu wa pharmacy waana vyuo now days vimekua vingi mno
Duuh mwaka huu tutaona mengi naona sasa wanapoelekea watakaza zaidi mpaka kwenye mitihan ya leseni mkuuYan huu msala ni wote hadi medicine subir uone...watapunguzwa sana
Pepa za leseni itakua moto[emoji91][emoji91]Duuh mwaka huu tutaona mengi naona sasa wanapoelekea watakaza zaidi mpaka kwenye mitihan ya leseni mkuu
Hivi wanawwza kurudia pepa kweli?..
Maana nchi nzima sio jambo dogo
DuhKurudia peper sio rahisi sababu ya muda na fedha......ila kinachofanyika upangaji wa marks ndio utakua ni shoo ya kibabe unawezakuta daraja la C ikaanza 65[emoji23][emoji23][emoji23]