Nini hatima ya NTA level 5 clinical medicine 2021

Kurudia peper sio rahisi sababu ya muda na fedha......ila kinachofanyika upangaji wa marks ndio utakua ni shoo ya kibabe unawezakuta daraja la C ikaanza 65[emoji23][emoji23][emoji23]

Japo wakiamua warudie mitihani pia inawezekana mzee
 
Warudie tu mitihani, Clinical medicine wamekua wakivuka level 5 kwa magaka miaka mingi, hatimaye serikali wamelishitukia. Na pia Waziri wa Afya anatakiwa aangalie upya board inayosimamia mafunzo ya kada ya Afya
 
Yan kinachoenda kutokea ni kama kilichowakuta mwaka 2018 level 5....
 
Sorry,NTA ndo vyuo gani hivi?
mkuu naona haufaham kabisa tofauti ya NACTE( sio necta) na TCU jaribu kugoogle utofauti wake na aina gani ya elimu wanatoa

basic certificate= NTA level 4
technician certificate= NTA level 5
ordinary diploma = NTA level 6
higher diploma = NTA level 7
bachelor degree= NTA level 8

mengne ingia www.nacte.go.tz
 
Huu mwaka ilikuwa balaa mnakuta darasan wote mna supp[emoji3]

Nakumbuka kuna chuo X cha serikali darasa la watu 80 pass zilikua 15 tuu,,,,,,zilizobaki ni supp,RM,disco
 
NTA = National technical Award mfano wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaitwa nta level 4 na wapili nta level 5 mpaka wa mwisho nta level 6,
HAPO mwisho umechapia...
NTA level iko hadi 10
 
Yan kinachoenda kutokea ni kama kilichowakuta mwaka 2018 level 5....

Kwanini mitihani ivuje maana yake kuna sehemu panatatizo.! Wao kama wasimamizi wanatakiwa wafanye upelelezi wa kina kuweza kujua nani yupo nyuma ya pazia kuvuja kwa mitihani hii.
 
Warudie tu mitihani, Clinical medicine wamekua wakivuka level 5 kwa magaka miaka mingi, hatimaye serikali wamelishitukia. Na pia Waziri wa Afya anatakiwa aangalie upya board inayosimamia mafunzo ya kada ya Afya
Ivi unajuwa mateso wanayopata au unajisemea tu warudie ..miswahili sijui vipi imekaa kiroho mbaya na chuki hivi huoni kama muda unaenda
 
Vijana wengi sana siku hizi wanafaulu kwa kuiba mitihani ama kufaulishwa na wakufunzi. Unakuta vijana wa CO zaidi ya 50 wana GPA ya 4.5. How come?! Na kichwani weupe mno.

Natamani wizara ifanye kitu kuhusu hawa waganga tarajali kwa afya zetu.
 
Ivi unajuwa mateso wanayopata au unajisemea tu warudie ..miswahili sijui vipi imekaa kiroho mbaya na chuki hivi huoni kama muda unaenda

Unasema mateso wanapata yapi ?? Nani ambaye hajapata mateso ? Changamoto ya kujadili kwenye platform kama hizi watu hawajui wanamjibu nani na nani anamjibu nini ?
Shule ya CO ni kubwa sana na sio ngumu.
Hivyo basi , ninachounga mkono ni kushikilia hayo matokeo na kujua nini chanzo cha kuvuja kwa mitihani hiyo. I have been in this game for more than three years now, I know the in and out of whole process starting from recruitment to assessment. Wanafunzi wengi ambao wanaoingia kwenye hivi vyuo vya kati ni basi tu nikutaka kuwasaidia ila they are completely incapable to undertake the course as their admission criteria are concerned. Back then, the government used to recruit students with good grades. Lakini wamekuja watu na siasa zao wanashusha criteria hadi D tatu kwenye Masomo matatu Physics, Chemistry and Biology. Alama D kwa upande wa o level mtu anaweza kuipata hata kwa kupiga chabo au kupitia swali moja la practical.
Tatizo hilo hilo likaifuata Taaluma ya Famasi, huko ndiko watu wamepuyanga sana. Na hii taaluma kama imepoteza uelekeo kwa maana wasimamizi wake hawaonyeshi kushitushwa na yanaondelea kwenye vyuo. Huenda wananufaika na hizi failures, who knows ?? Hivi kweli unawezaje kuruhusu mwanafunzi aliyefeli Physics na Hesabu aje kusom diploma ya pharmacy ?? Kwa hizo calculations huyo mtoto unatarajia atapona.? Hehehe watu wanaleta utani na taaluma hizi.
Mapendekezo:
1[emoji626]Waziri wa Afya na Washauri wake anapaswa kulipitia upya suala la Alama za kujiunga na Kozi za Afya. Ikiwezekana Mtu aliyepata alama D tatu pekee yake kwenye Biology na Chemistry asome Basic certificate tu (NTA LEVEL 04) na waliofaulu na kupata Alama C kwenye masomo yao kwenye matokeo ya O level waweze kupewa ruhusa ya kusoma hadi level 6 (Diploma). Na hii itumike kila mahali sio CMT au PST tu bali sehemu zote.
2.[emoji626] Usimamizi wa mafunzo ufanyiwe marekebisho. Punguza wale maboss wa mafunzo wote weka wapya. Na pia usimamizi wa vyuo vinavyopewa nafasi ya kusimamia au kutoa mafunzo haya visamamiwe kwa weledi na umahiri ili kuongeza ufanisi kwenye kuzalisha watumishi wenye uwezo.

Na log offf
 
Wanajua wenyewe wanaovujisha....maana nakumbuka mwaka jana mitihani ya clinical medicine haikuvuja kuanzia level 4-6 na matokeo yaliyotoka kweli yalikua yakibabe sana sababu watu walishazoea kuvuja kwa mitihani halafu mwaka huo walibana haswaaa yan.....
 
Madogo wengi ma CO mavilaza tu haya mambo yapo kisiasa snaa miyeyusho tu
 
Back
Top Bottom