Unasema mateso wanapata yapi ?? Nani ambaye hajapata mateso ? Changamoto ya kujadili kwenye platform kama hizi watu hawajui wanamjibu nani na nani anamjibu nini ?
Shule ya CO ni kubwa sana na sio ngumu.
Hivyo basi , ninachounga mkono ni kushikilia hayo matokeo na kujua nini chanzo cha kuvuja kwa mitihani hiyo. I have been in this game for more than three years now, I know the in and out of whole process starting from recruitment to assessment. Wanafunzi wengi ambao wanaoingia kwenye hivi vyuo vya kati ni basi tu nikutaka kuwasaidia ila they are completely incapable to undertake the course as their admission criteria are concerned. Back then, the government used to recruit students with good grades. Lakini wamekuja watu na siasa zao wanashusha criteria hadi D tatu kwenye Masomo matatu Physics, Chemistry and Biology. Alama D kwa upande wa o level mtu anaweza kuipata hata kwa kupiga chabo au kupitia swali moja la practical.
Tatizo hilo hilo likaifuata Taaluma ya Famasi, huko ndiko watu wamepuyanga sana. Na hii taaluma kama imepoteza uelekeo kwa maana wasimamizi wake hawaonyeshi kushitushwa na yanaondelea kwenye vyuo. Huenda wananufaika na hizi failures, who knows ?? Hivi kweli unawezaje kuruhusu mwanafunzi aliyefeli Physics na Hesabu aje kusom diploma ya pharmacy ?? Kwa hizo calculations huyo mtoto unatarajia atapona.? Hehehe watu wanaleta utani na taaluma hizi.
Mapendekezo:
1[emoji626]Waziri wa Afya na Washauri wake anapaswa kulipitia upya suala la Alama za kujiunga na Kozi za Afya. Ikiwezekana Mtu aliyepata alama D tatu pekee yake kwenye Biology na Chemistry asome Basic certificate tu (NTA LEVEL 04) na waliofaulu na kupata Alama C kwenye masomo yao kwenye matokeo ya O level waweze kupewa ruhusa ya kusoma hadi level 6 (Diploma). Na hii itumike kila mahali sio CMT au PST tu bali sehemu zote.
2.[emoji626] Usimamizi wa mafunzo ufanyiwe marekebisho. Punguza wale maboss wa mafunzo wote weka wapya. Na pia usimamizi wa vyuo vinavyopewa nafasi ya kusimamia au kutoa mafunzo haya visamamiwe kwa weledi na umahiri ili kuongeza ufanisi kwenye kuzalisha watumishi wenye uwezo.
Na log offf