Nini hatima ya NTA level 5 clinical medicine 2021

Nini hatima ya NTA level 5 clinical medicine 2021

Sio Co tuu mkuu ni course zote chenga tuu
Aisee siku hizi imbombo ngafu.
IMG-20211018-WA0008.jpg
 
Sijajua kuna dogo alikua akiniuliza kama inawezekana hilo mi sijui ila wakati wetu hakukua na huu upuuzi.
Hii itatumika kwa vyuo vyote vilivyopo under nacte au kwa hapo maswa tu ?
 
Sijajua kuna dogo alikua akiniuliza kama inawezekana hilo mi sijui ila wakati wetu hakukua na huu upuuzi.
Shida sijui ipo wapi naona mambo yanaanza kuvulugika, maana kuna mdau wangu anasoma c.o tanga nae ameniambia hivyo duuh
 
Shida sijui ipo wapi naona mambo yanaanza kuvulugika, maana kuna mdau wangu anasoma c.o tanga nae ameniambia hivyo duuh
Kua hawaruhusiwi? Nafikiri labda kwa kua March intake wamefuta
 
Kua hawaruhusiwi? Nafikiri labda kwa kua March intake wamefuta
Ndio maana taarifa imetumwa na principal wao wa chuo na hii sheria inaanza kutumika kwa matokeo haya ya nacte yatakayo toka ni hatar mkuu
 
Mwaka wa ngapi?

Ila huu uonevu mtu akae mwaka mzima nyumbani kusubiri kimeo 1 aisee hawajafikiria vizuri
Shida sijui ipo wapi naona mambo yanaanza kuvulugika, maana kuna mdau wangu anasoma c.o tanga nae ameniambia hivyo duuh
 
Mwaka wa ngapi?

Ila huu uonevu mtu akae mwaka mzima nyumbani kusubiri kimeo 1 aisee hawajafikiria vizuri
Yupo mwaka wa kwanza semester ya pili ndio waliofanya nacte wanasubiri majibu sijui yameshatoka
 
Vijana wengi sana siku hizi wanafaulu kwa kuiba mitihani ama kufaulishwa na wakufunzi. Unakuta vijana wa CO zaidi ya 50 wana GPA ya 4.5. How come?! Na kichwani weupe mno.

Natamani wizara ifanye kitu kuhusu hawa waganga tarajali kwa afya zetu.
ACHA MADOGO WAFAULU KAMA MITIHANI ILIVUJA HILO SIO KOSA LAO NI KOSA LA WATU WA WIZARANI KUVUJISHA.. MWANAFUNZI YEYE KAZI YAKE NI KUFANYA KAMA WIZARA WALISHINDWA KUZIBITI NI KOSA LAO SIO LA WANAFUNZI.....PIA USITEGEMEE ZAIDI KUFAULU MITIHANI YA MAKARATASI TU KWA SABABU PAMOJA NA KUWA MITIHANI YA MAKARATASI (THEORY) ILIVUJA PIA WALIKUWA NA MITIHANI YA PRACTICAL WODINI(CLINICAL EXAM)

NAONGEZEA....( TUACHE CHUKI)
 
Entry qualification za hovyo sana kwa diploma ya pharmacy et D pass mbili!!! ...na huu mchezo wa kushusha qualification wakijua kabisa wanaodahiliwa hawana uwezo wa ku-undertake coz husika umeanza baada ya private nyingi kuanza kutoa mafunzo haya tofauti na ilivyo kuwa zaman vyuo vingi vilikuwa gvt ...now days watu wamechangamka kufungua vyuo tu vya afya wakatafuta njia ya kupata wanafunz wengi kupitia kushusha qualifications wanapiga pesa za ada kabla ya end of semester vijana wanafail tu...just imagine unakuta 50% of class discontinue.. Hata utabibu ebu imagine mtu anaenda kusoma utabibu kwa D nne ikiwemo ya biology wakat ukifikiria kwa haraka O-level somo linalohusika kidogo na sayans ya mwili wa binadamu ni hilo..basi walau hata mwanafunz wa utabibu awe na C,, .
ILA ALL IN ALL WIZARA IWE FAIR KWA WOTE NURSING WAKIPATA 5.0 DARASA ZIMA NI KAWAIDA ILA PHARMACY & CO NDO KUNA TATIZO!!! HII HAPANA WANAJENGA NOTION YA UBAGUZI NA KUCHUKIANA KATIKA TRAINING..PIA WAPITIE UPYA VIGEZO VYA UDAHILI KWA WATARAJALI WAPYA..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
upewe uwaziri wa elimu basi make unajikuta unajua kuwazidi hao wenye taaluma zao walopanga hizo qualification, PST unaijua vzuri ama unaongea kwa uzoefu wa mtaani unalaumu qualification ya bios na chem ukitaka iwekwe na phy! labda ni kwambie phy haina implication yoyote kweny hiyo coz basic ni chem & bios ndio knowledge kubwa kwa pst then unalalamika hesabu, hesabu za pharmacy ni zle zilizosomwa kweny chem na zinatumika kidogo sana kweny somo moja tu la compound sasa ww unataka overloaded cjui zann ili mtu aonekane alikua jiniaz ama hzo qualification zmepangwa kiprofessional kabsa na kwa mtazamo mpana ww huwez kuelewa
 
Sifa na Utukufu ni Mali ya Mungu wetu, Naliinua na kulitukuza Jina lako sasa na hata milele.

Moja kwa mbili kwenye mada, Wadau wa elimu, afya na vyuo vya utabibu na Nacte, ninawauliza je, ni Nini hatima ya vijana wa Utabibu mwaka wa pili (Nta level 5) kwa mwaka 2021? Maana Nta 4 na 6 wote wamepata matokeo yao.

Vijana hawa ndio wanatakiwa wamalize NTA LEVEL 6 (DIPLOMA) mwaka huu 2021/2022, ili watuhudumie.
Baada ya mtihan kurudiwa limezuka gumzo lingine tena kutoka huko wizaran na Nacte waķielekeza kwamba wanafunz walopata supplementary ktk matokeo haya mapya hawatatakiwa kuendelea na masomo ya mwaka wa mwisho wasubiri mpaka mwezi wa8 jambo ambalo litafanya watu kupoteza mwaka mzima bila sababu za msingi na wakat utaratibu ni kwamba baada ya matokeo ya kwanza kutolewa kwa wale walioteleza hupewa nafasi ya kufanya mitihani ya marudio ili kuendelea na wengine ikishindikana ku-clear baada ya mtihan wa marudio ndo mambo ya kurudia mwaka yanakuwepo...lakin kwasasa imekuwa tofaut..
Hii inatia hofu sana miongon mwa wanafunz ukizingatia mitihan ilirudiwa bila wao kuwa na hatia kwan chanzo cha kuvuja sio wanafunz wenyewe...na bado baada ya hayo yote kama itakuwa hivyo watu watarudia mwaka katika record kubwa ambayo haijawah kutokea
 
Back
Top Bottom