Nini hatima ya NTA level 5 clinical medicine 2021

Sijajua kuna dogo alikua akiniuliza kama inawezekana hilo mi sijui ila wakati wetu hakukua na huu upuuzi.
Hii itatumika kwa vyuo vyote vilivyopo under nacte au kwa hapo maswa tu ?
 
Sijajua kuna dogo alikua akiniuliza kama inawezekana hilo mi sijui ila wakati wetu hakukua na huu upuuzi.
Shida sijui ipo wapi naona mambo yanaanza kuvulugika, maana kuna mdau wangu anasoma c.o tanga nae ameniambia hivyo duuh
 
Shida sijui ipo wapi naona mambo yanaanza kuvulugika, maana kuna mdau wangu anasoma c.o tanga nae ameniambia hivyo duuh
Kua hawaruhusiwi? Nafikiri labda kwa kua March intake wamefuta
 
Kua hawaruhusiwi? Nafikiri labda kwa kua March intake wamefuta
Ndio maana taarifa imetumwa na principal wao wa chuo na hii sheria inaanza kutumika kwa matokeo haya ya nacte yatakayo toka ni hatar mkuu
 
Mwaka wa ngapi?

Ila huu uonevu mtu akae mwaka mzima nyumbani kusubiri kimeo 1 aisee hawajafikiria vizuri
Shida sijui ipo wapi naona mambo yanaanza kuvulugika, maana kuna mdau wangu anasoma c.o tanga nae ameniambia hivyo duuh
 
Mwaka wa ngapi?

Ila huu uonevu mtu akae mwaka mzima nyumbani kusubiri kimeo 1 aisee hawajafikiria vizuri
Yupo mwaka wa kwanza semester ya pili ndio waliofanya nacte wanasubiri majibu sijui yameshatoka
 
Vijana wengi sana siku hizi wanafaulu kwa kuiba mitihani ama kufaulishwa na wakufunzi. Unakuta vijana wa CO zaidi ya 50 wana GPA ya 4.5. How come?! Na kichwani weupe mno.

Natamani wizara ifanye kitu kuhusu hawa waganga tarajali kwa afya zetu.
ACHA MADOGO WAFAULU KAMA MITIHANI ILIVUJA HILO SIO KOSA LAO NI KOSA LA WATU WA WIZARANI KUVUJISHA.. MWANAFUNZI YEYE KAZI YAKE NI KUFANYA KAMA WIZARA WALISHINDWA KUZIBITI NI KOSA LAO SIO LA WANAFUNZI.....PIA USITEGEMEE ZAIDI KUFAULU MITIHANI YA MAKARATASI TU KWA SABABU PAMOJA NA KUWA MITIHANI YA MAKARATASI (THEORY) ILIVUJA PIA WALIKUWA NA MITIHANI YA PRACTICAL WODINI(CLINICAL EXAM)

NAONGEZEA....( TUACHE CHUKI)
 
upewe uwaziri wa elimu basi make unajikuta unajua kuwazidi hao wenye taaluma zao walopanga hizo qualification, PST unaijua vzuri ama unaongea kwa uzoefu wa mtaani unalaumu qualification ya bios na chem ukitaka iwekwe na phy! labda ni kwambie phy haina implication yoyote kweny hiyo coz basic ni chem & bios ndio knowledge kubwa kwa pst then unalalamika hesabu, hesabu za pharmacy ni zle zilizosomwa kweny chem na zinatumika kidogo sana kweny somo moja tu la compound sasa ww unataka overloaded cjui zann ili mtu aonekane alikua jiniaz ama hzo qualification zmepangwa kiprofessional kabsa na kwa mtazamo mpana ww huwez kuelewa
 
Baada ya mtihan kurudiwa limezuka gumzo lingine tena kutoka huko wizaran na Nacte waķielekeza kwamba wanafunz walopata supplementary ktk matokeo haya mapya hawatatakiwa kuendelea na masomo ya mwaka wa mwisho wasubiri mpaka mwezi wa8 jambo ambalo litafanya watu kupoteza mwaka mzima bila sababu za msingi na wakat utaratibu ni kwamba baada ya matokeo ya kwanza kutolewa kwa wale walioteleza hupewa nafasi ya kufanya mitihani ya marudio ili kuendelea na wengine ikishindikana ku-clear baada ya mtihan wa marudio ndo mambo ya kurudia mwaka yanakuwepo...lakin kwasasa imekuwa tofaut..
Hii inatia hofu sana miongon mwa wanafunz ukizingatia mitihan ilirudiwa bila wao kuwa na hatia kwan chanzo cha kuvuja sio wanafunz wenyewe...na bado baada ya hayo yote kama itakuwa hivyo watu watarudia mwaka katika record kubwa ambayo haijawah kutokea
 
Dah! Kuna chuo wame pass 25, Zingine Repeat na Supp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…