Nini hatima ya Nyerere Day? Lini mwisho wake?

Haina mwisho , mpaka Tanzania isipokuepo,na hiyo sio kwetu tu,,mataifa mengi kama China , Korea n.k wanafanya hivyo

Haina mwisho , mpaka Tanzania isipokuepo,na hiyo sio kwetu tu,,mataifa mengi kama China , Korea n.k wanafanya hivyo

Usidanganye china hawana Mao day hatahawataki kumsikia na ipo siku ccm wkitoka madarakni Nyerere day imekufa yapo maovu mengi ya Nyerere yana fichwa kwanza kunadhambi kubwa sana ya serikali ya ccm kufuta historia ya Tanganyika na machifu akina Mirambo na akina Mkwawa na kuja kumpachika Nyerer
 
Hakuna cha vyema apo,,,cpendi kuona wa2 wakinyanyacka na kuzulumiwa,,,hizo national housing inasemekana wahindi walijenga kwa hela zao babu akazitaifisha, ni mdini, hakuwa akiwapenda waisilamu. Hii ki2 mimi imenikera munoo.
Kweli lakini maana huwezi pendwa na wote
 

Siku ccm wakitoka madarakani inakufa kifo cha mende
 
Tujuze mkuu kivipi?

Kuingiza Tanzani katika vita na Ungada ili Rafiki yake Obote arudi Madarakani baada ya kupinduliwa pale ndipo maisha yalibadilika mpaka leo alitwambia TUFUNGE MIKANDA MIEZI 18 mpaka leo haijamalizika bado twaufunga mkanda tunasubiri atakaposema tufungue mkanda.
 
Founders hawanaga mwisho wapo kwenye kulinda history isipotee.
 
Kweli lakini maana huwezi pendwa na wote

Kiongozi yoyote anaetenda haki bila kujari udini, utaifa wa mtu, ukabila huyu ndiye anafaa kuitwa kiongozi. Refer historia ya Ertugrul ambayo ni true stoty, akiwatendea haki waisilamu wenzie na waco waisilamu, (haki ni haki tuu) hakuna zulma, unyanyasaji wala mauwaji kwa waco na hatia. kama unaifuatiria vyema utagundua viongozi wetu bado sana kufika huko. Mama samia tunamuombea heri Mungu amuongoze katika majukumu yake, ni mama asiye na makuu na mutu.
 
Kwa sasa hakuna wala hatakuja kiongozi ambae hana upendeleo sehemu moja kwa namna moja au nyingine.
Hata Samia nae analaumiwa hivyo hivyo
 
Dah ngoja tuendelee kufunga mikanda
 
Mi naona timu chato watahamisha magoli wafosi mtu wao ndo awe mzee wa taifa...leo si unaona Nyerere day ila kumbukumbu imefanyikia chato badala ya butiama.
 
Mi naona timu chato watahamisha magoli wafosi mtu wao ndo awe mzee wa taifa...leo si unaona Nyerere day ila kumbukumbu imefanyikia chato badala ya butiama.
Je, Rais aliye hudhuria makamu wake na waziri mkuu nao mi watu wa chato?
 
S
Samia day
Majaliwa day
Mpango day n.k

Yaani tutakuwa tunapumzika tuuuuu
Siku za kuishi mwanadamu hazina formula.
Hao unawaona kama ni wazee, ila muda wao wa kufa waweza fika wakati wewe uliahasahaulika mamiaka!
 
Hii siku ipo tu labda pale kiongozi mwehu akichukua nchi aifute

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hivi unaelewa ulichoandika au ulikuwa umesinzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…