GE2025 Nini hatima ya Tanganyika baada ya 2025 kama uchaguzi utafanyika?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Njia pekee ya salama iliyobakia ni huu muungano kufa, kama unavyotabiri. Nasubiri kwa hamu hili la muungano kufa ili Tanganyika iwe pekee.
au tuwe na serikali tatu....... au Zanzibar uwe Mkoa.... ingawa hili ni gumu. Ukiwaacha peke yao, wataleta maluki na kutishia usalama wa tanganyika. Ni kuwa na serikali tatu na serikali ya muunganio na mabo ya Muungano....hasa jeshi kukadhibiti kasilete majeshi ya kigeni Zanzibar
 
Hili la Mkoa ni ndoto za Alinacha! Inapendeza kwamba nawe una maoni kama ya akina Lukuvi. Hili la serikali tatu ndilo tunalolisemea kila siku lkn Watanganyika kwa mawazo yao ya kikoloni, hawalitaki. Rejea mapendekezo ya katiba mpya ya Warioba na mchakato wake. Yaani Watanganyika wanamawazo ya kuitawala Zanzibar tu na wao wabaki wakiiona Zanzibar ni kinyago! Hili halitatokea kamwe.

Tuende tatu au tugawane mbao.
 
au tuwe na serikali tatu....... au Zanzibar uwe Mkoa.... ingawa hili ni gumu. Ukiwaacha peke yao, wataleta maluki na kutishia usalama wa tanganyika. Ni kuwa na serikali tatu na serikali ya muunganio na mabo ya Muungano....hasa jeshi kukadhibiti kasilete majeshi ya kigeni Zanzibar
Ile tayari ni nchi kamili huwezi tena kuifanya mkoa au jimbo
 
kama utafanyika, hivi mnaamini kabisa kuna uwezekeano uchaguzi usifianyike? CHadema bana
Hvi ww kwa akili yako hata huyo mamako unadhan atafurahi kuingia kwa uchaguzi bila CHADEMA?kwamba atajipitisha alaf ataenda kuapa pale kabisa kashika msaafu wake?unadhani atakua na amani?Wewe kuwezaaa?
Msiwe chawa mlopitiliza mnahitaju ku reason at Times..akilazimisha atakua kituko kwa Dunia!
 
Dada nahisi bado hujawaelewa CCM bado.
 
Mama SAMIA ana mapungufu yake ILA UKITOKA upendeleaji makwao binafsi namuona VIZURI anafanya KAZI hasa PESA IPO SI kama awamu ILE Fulani tujifunze kpongeza pia SI kukooa TU HYO ni DALILI ya wivu
 
1759382358010.jpg
 
Back
Top Bottom