Nini hatima ya timu za Namungo & Singida Black Stars baada ya Uchaguzi Mkuu?

Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa.

Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
Ni timu za wananchi/ wanachama.
Viongozi wa kisiasa ni walezi wa timu tu hao, si wamiliki wala wafadhili kwa asiliia mia.
 
Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa.

Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
Namungo ni timu ya Halamashauri kama ilivyo Mbeya City
 
Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa.

Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
timu ya namungo nadhani inachangiwa na wakulima kwa kiwango fulani. ila shida iko
kwa singida black stars. yule mtu akikosa uwaziri basi hali itakuwa fbaya.
 
Hii mada imekaa poa sana.
Ni jambo la Maana sana kulijdili.

Ukitoa hoja ya uchaguzi, kuna mchezaji mmoja ameathirika na majina Tu Aziz Andambwile Mwambalaswa alikwenda yanga kwa mkopo anatakiwa kurudi kati ya Singida au Fountain timu yake ya zamani ilivunjika.
 
Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa.

Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
Kwanza jua kwamba wanasiasa wengi wakubwa wa ccm ni mabilionea kuendesha timu ni kitu kidogo kwao hata kama wako nje ya siasa alafu team ya mpira ni nyenzo kubwa sana kwenye kampeni itawasaidia kurudi tena kwenye ulingo

Lakini hao jamaa wanauhakika wa kushinda hata kama hawajawahi kufika jimboni kwao hata mara moja
 
Tena kama hiyo singida naona imegeuka kuwa timu ya waghana maana asilimia kubwa ya wachezaji wake ni waghana, sasa hao wananchi wa kawaida toka lini wakawa na uwezo wa kununua wachezaji wazuri kama wale na kuwalipa vizuri mbona hizo timu nyingine za wananchi hazifanyi vizuri hivyo, ndani ya msimu mmoja timu imetoka kuwa nafasi ya chini hadi kuwa nafasi ya nne na kuwa na uhakika wa kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao
 
Namungo msimu ujao inashuka daraja
 
Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa.

Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
Subiri kwanza Uchaguzi Mkuu uishe.
 
Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa.

Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
Subiri kwanza Uchaguzi Mkuu uishe.
 
Wale wana njaa sana kwasababu ni wezi lakini hawana financial literary ndo maana wengi wao huo wanakuwa vishoka mara wanadhulum viwanja vya watu na ujinga mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…