Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
huo umri mi nimeshavuka ngoja tuwasubiri wenye umri huo wajeVijana mnaitwa huku, mkuje kutoa ufafanuzi juu ya mustakabali wa maisha yenu ya baadae.
Tubaki hapo ktk Bold,tulipe Kodi , mengine tuwaachie Serikali wanunue machine za kuchuja damuHivi karibuni kumeshuhudiwa kuongezeka kwa matumizi makubwa ya pombe kali, hususa kwa vijana kati ya miaka 15 mpk 30, kubeti, uvutaji bangi, mirungi, movi za hovyo, miziki ya hovyo n.k, kama taifa tutegemee nini haswa? vijana wengi sahivi hawataki kazi wala hawana nguvu za kufanya kazi, ni wachache sn wanaokwepa huu mtego, hatuoni kama kuna hatari huko mbeleni?
1. Kutakuwa na wagonjwa wengi sn wa figo, ini na mapafu 2. Taifa linapoteza nguvu kazi pamoja na walipa kodi 3. Mmomonyoko wa maadili kwenye jamii unashuka kwa kasi sn 4. Kuongozeka kwa wizi mitaani n.k
Ukitaka kutajirika kwa haraka wakati huu wewe fungua kiwanda cha pombe kali au weka mashine za kubeti n.k, Je serikali yetu haioni hii hatari mbeleni? Naomba tuweke siasa pembeni tujadili kuokoa kizazi cha kesho. Karibuni wote, natamani Waziri Gwajima ni wanaFJ Wizara yake inahusika na hili kundi.
Tangu lini wewe umekuwa mzeeVijana mnaitwa huku, mkuje kutoa ufafanuzi juu ya mustakabali wa maisha yenu ya baadae.
Tufanye nini? hii ni hatari sn asee mtaani vijana wengi hawana nguvu kabisa aseeTaifa la pombe, kubeti, singel/bong flaver na mpira( simba na yanga)
Walipa kodi wanapungua kwa kasi snTubaki hapo ktk Bold,tulipe Kodi , mengine tuwaachie Serikali wanunue machine za kuchuja damu
Wanazaliwa wengine Mkuu,usiwaze hilo ,Walipa kodi wanapungua kwa kasi sn
Lakini vijana wengi wanaangamia asee, serikali ifanye nini kuokoa hiki kizazi?huo umri mi nimeshavuka ngoja tuwasubiri wenye umri huo waje
Binafsi nilimwelewa sn, sahivi hali inatisha balaa aseeWakati mzee magu anaingia madarakani alipiga marufuku pombe za kwenye viroba na ikawezekana.
Mkuu hata nguvu za kiume wengi hawana, nani atazaa? na watakao zaliwa nao watakuwa walevi kupita kiasiWanazaliwa wengine Mkuu,usiwaze hilo ,
Da mkuu hii ni hatari sn nguvu kazi ya taifa inapotea kwa kasi ya ajabu snNi faida kwa wakoloni(wanasiasa) wetu. Wanapata sababu ya kugawana na kuuza vyoote kwa visingizio vya hakuna watu(nguvu kazi) wenye uelewedi(watoto wao wanalelewa shule za gharama au nje ili waje wa-take over)
Acha wasome Kayumba, waendeshe boda, wabeti, wajitwike kali....mwaka huu watapewa vitenge na tshirt, mixer 7,000
Muda huo ukifika kutakua na suluhu nyingine, Kwa Sasa twende na hiiMkuu hata nguvu za kiume wengi hawana, nani atazaa? na watakao zaliwa nao watakuwa walevi kupita kiasi
Mkuu tusifanye utani kumekuwa na hatari sn, mimi natembelea mara kwa mara Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida na Dodoma hali ni mbaya, sijui huko kwingine, hii mikoa sahivi hali inatisha sn.Muda huo ukifika kutakua na suluhu nyingine, Kwa Sasa twende na hii