Nini hatima ya vijana wa taifa la Tanzania na matumizi ya pombe kali? Tujadili kidogo

Nini hatima ya vijana wa taifa la Tanzania na matumizi ya pombe kali? Tujadili kidogo

Stress relief kutokana na watu kukosa hope; Betting wanachase an illusion kwahio lazima wakimbilie opium fulani na alternative ni Opium of the mass (IMANI)

Ila suluhisho la kudumu ni kwa watunga Sera kuhakikisha watu hawakosi hope na kufanya vitu vyenye ujira sababu ukiangalia wengi hawana ajira (Idle hands are the devil plaything)

Lawama nyingi nazipeleka kwa watunga Sera na mwisho wa siku hali itakuwa mbaya zaidi sababu hawa wabangaizaji wa sasa ambao kama taifa hatuwatumii kujenga nchi ili angalau wawe pensionable ndio kesho watakuwa Omba, Omba wasio na nguvu (wazee), Sasa hivi tunapanda bangi, hatuwezi kuvuna mchicha.

 
hapo kwenye magonjwa ongeza na ulemavu na vifo vya ajali, maana kila siku ni ajali madogo wameua watu wakiwa wanatoka kula bata na wamelewa au na wao wamekufa kwenye ajali,......

linapokuja suala la "KAMA TAIFA" hii kauli haifanyi kazi Tanzania,...kwani hakuna mshikamano kwenye mambo ya maana,....machawa wasio kuwa na hoja za maana ndo wenye kusikilizwa, nchi haina dira wala mwelekeo unaoeleweka, kiongozi wa nchi anasema "kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake" alafu wewe useme "KAMA TAIFA TUFANYAJE?"
it's doesn't make sense now,....

kila mtu ajifie kivyake,....❗❗🙏
 
Hivi karibuni kumeshuhudiwa kuongezeka kwa matumizi makubwa ya pombe kali, hususa kwa vijana kati ya miaka 15 mpk 30, kubeti, uvutaji bangi, mirungi, movi za hovyo, miziki ya hovyo n.k, kama taifa tutegemee nini haswa?

Vijana wengi sahivi hawataki kazi wala hawana nguvu za kufanya kazi, ni wachache sn wanaokwepa huu mtego, hatuoni kama kuna hatari huko mbeleni?

  • Kutakuwa na wagonjwa wengi sana wa figo, ini na mapafu.
  • Taifa linapoteza nguvu kazi pamoja na walipa kodi.
  • Mmomonyoko wa maadili kwenye jamii unashuka kwa kasi sana.
  • Kuongezeka kwa wizi mitaani, n.k.
Karibuni wote, natamani Waziri Gwajima ni wanaFJ Wizara yake inahusika na hili kundi
Uchumi WA CCM umepaa ndio mana vijana wanauwezo wakunyonga viroba mda wote kwa pesa yawo.kazi iendelee
 
hapo kwenye magonjwa ongeza na ulemavu na vifo vya ajali, maana kila siku ni ajali madogo wameua watu wakiwa wanatoka kula bata na wamelewa au na wao wamekufa kwenye ajali,......

linapokuja suala la "KAMA TAIFA" hii kauli haifanyi kazi Tanzania,...kwani hakuna mshikamano kwenye mambo ya maana,....machawa wasio kuwa na hoja za maana ndo wenye kusikilizwa, nchi haina dira wala mwelekeo unaoeleweka, kiongozi wa nchi anasema "kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake" alafu wewe useme "KAMA TAIFA TUFANYAJE?"
it's doesn't make sense now,....

kila mtu ajifie kivyake,....❗❗🙏
Mkuu wanatusumbua mitaani haswa wamekuwa ni wezi balaa
 
Ni faida kwa wakoloni(wanasiasa) wetu. Wanapata sababu ya kugawana na kuuza vyoote kwa visingizio vya hakuna watu(nguvu kazi) wenye uelewedi(watoto wao wanalelewa shule za gharama au nje ili waje wa-take over)

Acha wasome Kayumba, waendeshe boda, wabeti, wajitwike kali....mwaka huu watapewa vitenge na tshirt, mixer 7,000
DUh hawa wakoloni ni hatari sana mkuu.
 
Back
Top Bottom