kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Ni kweli sasa sijui kwanini hawataki kutoa ajira kwa vijanaNadhani vijana wakifanya kazi serikali itapata kodi kubwa kuliko sahivi viwanda vinalipa kodi na baadae itaanza kuhangaika kutibu vijana wenye matatizo ya figo, ini na mapafu
Vipaumbele vyetu ni vya hovyo sn, hatujawekeza vizuri kwenye ajira za vijanaNi kweli sasa sijui kwanini hawataki kutoa ajira kwa vijana
Hiyo ndiyo changamoto inabidi wafanye maboresho kwenye hilo swalaVipaumbele vyetu ni vya hovyo sn, hatujawekeza vizuri kwenye ajira za vijana
SahihiHiyo ndiyo changamoto inabidi wafanye maboresho kwenye hilo swala
Uchumi WA CCM umepaa ndio mana vijana wanauwezo wakunyonga viroba mda wote kwa pesa yawo.kazi iendeleeHivi karibuni kumeshuhudiwa kuongezeka kwa matumizi makubwa ya pombe kali, hususa kwa vijana kati ya miaka 15 mpk 30, kubeti, uvutaji bangi, mirungi, movi za hovyo, miziki ya hovyo n.k, kama taifa tutegemee nini haswa?
Vijana wengi sahivi hawataki kazi wala hawana nguvu za kufanya kazi, ni wachache sn wanaokwepa huu mtego, hatuoni kama kuna hatari huko mbeleni?
Karibuni wote, natamani Waziri Gwajima ni wanaFJ Wizara yake inahusika na hili kundi
- Kutakuwa na wagonjwa wengi sana wa figo, ini na mapafu.
- Taifa linapoteza nguvu kazi pamoja na walipa kodi.
- Mmomonyoko wa maadili kwenye jamii unashuka kwa kasi sana.
- Kuongezeka kwa wizi mitaani, n.k.
RightBangi
Mitungi
Mishisha
Masigara
Uzinzi
Yote haya hufanywa na watu dhaifu
Mkuu kuna hatari sn sababu vibaka wamekuwa ni wengi hatariSasa kama wameyakataa mafundisho ya dini kwenye nyumba za ibada ndipo Pana uzima waache wafe.
Ukitaa mema subiria dunia ikufunze
Mkuu wanatusumbua mitaani haswa wamekuwa ni wezi balaahapo kwenye magonjwa ongeza na ulemavu na vifo vya ajali, maana kila siku ni ajali madogo wameua watu wakiwa wanatoka kula bata na wamelewa au na wao wamekufa kwenye ajali,......
linapokuja suala la "KAMA TAIFA" hii kauli haifanyi kazi Tanzania,...kwani hakuna mshikamano kwenye mambo ya maana,....machawa wasio kuwa na hoja za maana ndo wenye kusikilizwa, nchi haina dira wala mwelekeo unaoeleweka, kiongozi wa nchi anasema "kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake" alafu wewe useme "KAMA TAIFA TUFANYAJE?"
it's doesn't make sense now,....
kila mtu ajifie kivyake,....❗❗🙏
Usije ukajaribu Ku-violate natureRight
Hatari snUsije ukajaribu Ku-violate nature
Gambling is a curse.Hatari sn
Wataaiba nini sasa kila kitu kina gps na pesa watu hatukai nazo ndani.Mkuu wanatusumbua mitaani haswa wamekuwa ni wezi balaa
DUh hawa wakoloni ni hatari sana mkuu.Ni faida kwa wakoloni(wanasiasa) wetu. Wanapata sababu ya kugawana na kuuza vyoote kwa visingizio vya hakuna watu(nguvu kazi) wenye uelewedi(watoto wao wanalelewa shule za gharama au nje ili waje wa-take over)
Acha wasome Kayumba, waendeshe boda, wabeti, wajitwike kali....mwaka huu watapewa vitenge na tshirt, mixer 7,000
Mfumo ndiyo unataka hivyoooTaifa la pombe, kubeti, singel/bong flaver na mpira( simba na yanga)