Nini hatima ya vijana wa taifa la Tanzania na matumizi ya pombe kali? Tujadili kidogo

Kuna yule jamaa Tiktok anapiga K-Vant kubwa kama anakunywa maji madai yake ni challenge. Ajabu ni kuwa Mamlaka hazishughuliki naye kabisa.

Labda sasa mama yetu Dkt. Gwajima D utusaidie jambo, mtanzania hawezi kuhatarisha uhai wake na kushawishi wengine kuhatarisha uhai wao kwa kiasi kilena akaachwa tu aendelee kutrend mtandaoni.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-03-20-12-35-49-11.jpg
    498.9 KB · Views: 23
Gambling is a curse.
Sports betting is a curse that destroys lives and families.
The owners of sports betting businesses are heartless, blood thirsty sharks preying on the vulnerabilities of the weak, the poor and the ignorant.
Jamaa wanaitumia vizuri sn
 
Hii ni aibu kubwa kwa taifa na hatari sn
 
Mkuu wanatusumbua mitaani haswa wamekuwa ni wezi balaa
mkuu hao wewe dili nao kivyako personally,......mimi hapa mtaani wananijua kabisa kuwa siwezi kwenda polisi kushitaki,
Mkuu wanatusumbua mitaani haswa wamekuwa ni wezi balaa
mkuu hao wewe dili nao kivyako personally,...mimi mtaani wananijua kabisa kuwa siwezi kwenda polisi kushitaki mtu,...niliibiwa mali zangu za thamaani sana, nafika kituoni, polisi wako bize na mpira, wanakuja kunisikiliza wanachukulia poa tu kesi yangu na maneno ya mzaha juuu,...

Nikasema isiwe kesi, mtu akijichanganya kwangu yeye ndo aende kunishtaki polisi, lakini mimi sina muda wa kupoteza,...,
 
Wanaweza kukuwahi na panga ama mtoto wako au mkeo, ni wabaya wanatembea na visu, simu na rungu.
 
nasikia wamiliki wa viwanda vya pombe ni walipaji wazuri wa kodi ya taifa
 
Hapa Kuna vitu vingi sana vya kuangalia, lakini yote inachangiwa na mfumo mbovu wa elimu vijana wengi wanakosa maarifa hivyo akili inashindwa kuchanganua vitu kwa haraka na wanaangalia njia rahisi ya kujipatia kipato hivyo wanaishia kucheza Kamari na wizi, lakini pia angalia burudani zilizotapakaa mitaani na aina ya wasanii tulionao zaidi ya asilimia 80% wanaimba mapenzi hata hiyo 20% iliyobaki ni mapambio bila kuangalia changamoto kubwa katika jamii hapo lazima maadili yatapotomoka kwa kasi.
Kwa uchache sana Linda familia yako dhidi ya hizi changamoto waeleze ukweli wasipokuelewa watamezwa na huu mfumo, ikitokea watu wakajitambua walau wajadili changamoto zao wafikie japo 25% ya majadiliano kama ya Simba na Yanga tutaanza kujitambua. Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…