Nini hatima ya vijana wa taifa la Tanzania na matumizi ya pombe kali? Tujadili kidogo

Ni hatari sana mkuu, tena sikuhizi huku mijini kuna vibanda vinakesha kuwauzia vijana pombe hizo na wateja wao wakubwa ni vijana waendesha bodaboda wanaokesha
 
Nadhani viongozi wanafurahia sn kuongoza majitu majinga
 
Ni hatari sana mkuu, tena sikuhizi huku mijini kuna vibanda vinakesha kuwauzia vijana pombe hizo na wateja wao wakubwa ni vijana waendesha bodaboda wanaokesha
Kuna pombe ya kupima ya 200 lakini ni kali kupita kiasi, siku moja nilitest pafu moja nilipiga chafya na kujamba mpk nikawa naona giza asee, lakini bodaboda wanakunywa na kufurahia wakichanganya na energy balaa tupu
 
Adui no Moja wa vijana na WA Tanzania Kwa ujumla ni Ccm.

Tupambane kuondoa ccm kwanza hayo ya pombe Kali tukiwa serikali imara ni marufuku ya siku 1 na utekelezaji wa mwezi mmoja tu unatokomeza kabisa.


Hakuna ugonjwa mbaya kama kuwa CHAWA matokeo ya uchawa tutayaona hapo mbeleni hasa Kwa kizazi hiki kinacholelewa na wazazi machawa!!!

Nitarudi kukazia
 

Hap ni walipa k9di wazuri wanaoendeleza uchumi
 

Acha kumsingizia ccm. Mchawi wa vijana ni vijana wenyewe. Tukisems acheni kutumia viwalo vya kijani hawasikii. Sasa utawasaidiaje hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…