Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Zinapelekwa benki kuu baada ya taasis husika kuamua yenyewe tu kuzipeleka au kuna taasis inayofatilia miamala na kuamua inapotokea hali hiyo???Pesa ambazo hazijawa claimed kwa miaka mitatu zinarejeshwa benki kuu, including za kwenye mitandao ya simu
Nilimaanisha kwa zile pesa ambazo huwa tunazihifadhi kwa kificho bila ya wetu wa karibu kujuaUrithi wa nchi huo!
Kama ni urithi wa familia msimamizi wa mirathi angekuwa kishachukua.
Everyday is Saturday............................... [emoji41]
Ndiyo hizo hizo hurithiwa na SERIKALI.Nilimaanisha kwa zile pesa ambazo huwa tunazihifadhi kwa kificho bila ya wetu wa karibu kujua
Ni requirement ya kisheria kwenye sheria ya huduma za fedha za Tanzania, kwamba pesa ambayo haijawa claimed na wahusika kwa muda fulani, lazima iwe reported benki kuu na irejeshwe benki kuu. Mfano, mtu akifariki na pesa zake zilizo kwenye laini ya simu kazijatolewa kwa muda unaostahili (laini ya simu ina expire baada ya miezi mitatu) kama haitumiki, basi zile pesa zinaondolewa kwenye akaunti husika na kurejeshwa serikalini (benki kuu). Ni takwa la kisheria, sio maamuzi ya mabenki ama kampuni za simu.Zinapelekwa benki kuu baada ya taasis husika kuamua yenyewe tu kuzipeleka au kuna taasis inayofatilia miamala na kuamua inapotokea hali hiyo???
SawaNi requirement ya kisheria kwenye sheria ya huduma za fedha za Tanzania, kwamba pesa ambayo haijawa claimed na wahusika kwa muda fulani, lazima iwe reported benki kuu na irejeshwe benki kuu. Mfano, mtu akifariki na pesa zake zilizo kwenye laini ya simu kazijatolewa kwa muda unaostahili (laini ya simu ina expire baada ya miezi mitatu) kama haitumiki, basi zile pesa zinaondolewa kwenye akaunti husika na kurejeshwa serikalini (benki kuu). Ni takwa la kisheria, sio maamuzi ya mabenki ama kampuni za simu.