Nini hatma ya COVID 19? Imeishia wapi mbona haina tena tension

Nini hatma ya COVID 19? Imeishia wapi mbona haina tena tension

Joined
Sep 3, 2022
Posts
40
Reaction score
90
Habar wana jamii nauliza. Je, covid 19 imeishia wap naona wale wazungu walokua wanaweka lockdown leo wana socialize kawaida je ni kwambo covid ipo au ilikua ni siasa tuuh

Na cha kushangaza zaidi ipo china ambapo marekani huamin ndo ilipotea

.....let us discus this thread
 
Baada ya China kuamua kuishi nayo ndio imekwisha hiyo. Haijapata kutokea watu kutiwa hofu ikawaingia duniani tangu iumbwe kama mwaka 2020-2022.Watu walikuwa wanadondoka tu kwa hofu.Wengine wakajipeleka kuwa chambo cha majaribio kwa kisingizio cha kinga,
 
China wamekufa watu elfu sitini ndani ya mwenzi mmoja....Yani December alone...
 
Back
Top Bottom