Usije ukakurupuka kuwa na mchepuko hakikisha una sababu inayoeleweka ya kukufanya uwe na mchepuko..
Baada ya kuoa na kuishi na mke Kwa miaka kadhaa zikaanza vurumai ndani zisizo na kichwa wala miguu,. Mara mtu anune wiki nzima, kibri na majibu ya kunya..
Kwakuwa wengne shughuli zetu ni usiku na mchana basi wakat mwingne hata tunda ikawa shida nikaona isiwe taabu..
Nikamtafuta niliyemuona ananifaa nikaanza kudate naye sina hatma naye yoyote zaidi ya tutakapoishia.
Lakn ni mtu tunayeweka mipango mizuri ya maisha hayupo kwaajili ya kunichuna ila mikakati ya maendeleo zaidi ipo ya kusaidiana kwenye familia.. Heshima nyumban ilisharudi maana niliamua kuwa ntakuwa nalala nje hata Kwa wiki na nikirudi sihitaji sex naye..
Akili yote ilikuwa Kwa mchepuko..
Wanawake wanajisahau kuwa wakiolewa wanadhani ndio wamemaliza dawa yao ni kuwapandisha vyeo hata visivyo rasmi
Sent using
Jamii Forums mobile app