Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

VIP kuhusu Magonjwa au Ndoa kuharibika? Au ndoa kupoteza heshima yake au watoto kuishi maisha mabovu au watoto kuteseka lakini wewe unasema hakuna hatma yoyote
Mi hayo hayanihusu. Am just having fun litakalotokea litasoviwa kwa muda wake
 
akili nyingi... maarifa makubwa, uthubutu na mvuto wa nafsini na moyo.

# baki na akili zako, za kushikiwa mwachie mkono #
 
Aisee kuna video nimeiona leo inasambaa jmn huko. Mwanamke kamkamata mchepuko. Kamtafutia wanaume watatu mmoja mbele mwingine nyuma the other mdomoni binafsi nilimuonea huruma huyo mdada.

Swali kwa wanaume imagine unasikia mke wako kamfanyia mchepuko issue kama hiyo? Ungemtafsirije? Ungemuuliza?ungeendelea kumpenda? Ungemchukia auu.......nahitaji tu maoni kutoka kwa wanaume just curious to know.
 
Hii hatari mkuu
 
Mi hayo hayanihusu. Am just having fun litakalotokea litasoviwa kwa muda wake
Duuuh kweli Nimeamini tunatofautiana maana impact yake imefanya mambo mengi kuharibika watoto wa mitaani,yameleta watu kuteseka,kujuta,yamesababisha maisha magumu na ya majuto makubwa,watu kuharibika kisaikolojia, in short ni balaa so sio fun
 
Wanaume wakiacha kuchepuka dunia itakuwa sehemu nzuri ya kuishi. Wahubirie wenzako waache..wanasema ni nature yao wameumbwa hivyo.
 
Na kweli ila sio wote,yani upon sahihi hao bado hawajajitambua na hawajielewa bado sio kwamba nawatukana ila ndo ukweli huo
 
Back
Top Bottom