Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

Unadhan michepuko wanajisikiaje wakiona hii habari jamani.

Unakuwa single mother hapo hapo mchepuko, ukizama tu Jf unaumwa tumbo la kihara.

Maana siyo kwa comments hizi
 
Mkuu, hatima ya mchepuko ni pale atakapopata mwenza. Asipompata mwenza wake basi tegemea kuwa ni wewe na yeye mtakwenda down to wire, yaani kifo kitawatenganisha.
Kunaweza kuwa na ukweli,je ikitokea wewe humuhitaji tena hapo inakuwaje?
 
Unadhan michepuko wanajisikiaje wakiona hii habari jamani.

Unakuwa single mother hapo hapo mchepuko, ukizama tu Jf unaumwa tumbo la kihara.

Maana siyo kwa comments hizi
Ni bora wajue mapema,kwa sababu kuna wengine wako tayari kufanya mapinduzi ya ndoa
 
Nimekuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…