Nini hatma ya miradi ya Chato?

Miradi yote hiyo itaendelea tu kujengwa kwa sababu CCM ni ile ile! Labda kama Rais angetoka upinzani, hapo tungeongea stori nyingine kabisa. Hiyo miradi yote ingefutiliwa mbali! Maana ina chembe chembe za upendeleo.
 
..hata uwanja wa mpira utajengwa?

..kwa maoni yangu Hospitali ya Rufaa, Veta, na miradi mingine inayogusa wananchi wa kawaida iendelee.

..ila nina wasiwasi kwamba mbunga ya burigi-chato, na mradi wa hoteli ya nyota tatu, itadorora miaka michache ijayo.
 
Vyote hivyo vitajengwa tu kama njia mojawapo ya kumuenzi marehemu. Ila baada ya hapo, nadhani kipaumbele kitapungua sasa.
 
Ina maana hiyo miradi haina mikataba?
Kama mikataba ipo itasonga tu

Ova
 
Vyote hivyo vitajengwa tu kama njia mojawapo ya kumuenzi marehemu. Ila baada ya hapo, nadhani kipaumbele kitapungua sasa.

..miradi ambayo imeshaanza na fedha zimetumika ni vizuri ikaendelea na kukamilishwa.

..siamini kama ni sahihi kuwa-penalize wananchi wa Chato kwa makosa na madhaifu ya Magufuli.
 
Atafukiwa nayo rasmi yote hiyo Ijumaa.
 
Miradi haitakufa
Miradi haitakufa
Miradi haitakufa.

Sometimes upinzani hukosa maana kabisa, miradi ya chato iko Tanzania hamjakatazwa kuitumia.

Lakini kila siku ni makelele chato,chato,chatoooo.....so what?
 
Hasa Babati ni wilaya muhimu sana kupata uwanja wa ndege mkubwa maana ipo katikati ya mbunga kubwa sana.
 
Miradi yote hiyo itaendelea tu kujengwa kwa sababu CCM ni ile ile! Labda kama Rais angetoka upinzani, hapo tungeongea stori nyingine kabisa. Hiyo miradi yote ingefutiliwa mbali! Maana ina chembe chembe za upendeleo.
Je uwanja wa ndege wa chatou utakuwa na faida kwa taifa?

Nani na abiria wapi watatumia huo uwanja wa ndege?

Hiyo Hotel itapata wapi wateja?
 
Wakati hakuna tatizo lolote lile kujadili masuala ya miradi ya kimkakati. Kuna muda hawa wenzetu (mods) wanazingua!
Hapo nadhani sasa kaingia kada wa ccm ndiyo maana nyuzi nyingi wanazifuta.
 
Miradi haitakufa
Miradi haitakufa
Miradi haitakufa.

Sometimes upinzani hukosa maana kabisa, miradi ya chato iko Tanzania hamjakatazwa kuitumia.

Lakini kila siku ni makelele chato,chato,chatoooo.....so what?

..wapinzani hawapingi miradi yote inayojengwa chato, isipokuwa ile yenye sura ya kifisadi, isiyokuwa na kichwa wala miguu.
 
Hata uwanja wa ndege sioni kama utakuwa na muendelezo tena
 
Baada ya pinda airport ya katavi ipoje
 
Itakuwa kama ile ya Mobutu seseko aliyojenga kijijini kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…