Nini hatma ya miradi ya Chato?

Umenikumbusha kilichotokea Gbadolite baada ya Mobutu Sesseseko wa Zaire kufurushwa madarakani, pamebaki magofu matupu na mapango ya fuko. Yetu macho na masikio, muda utaongea
 
Pamoja na hayo Ile uwanja ni mkubwa kuliko mahitaji.

Kumbuka pia kuwa hiyo Burigi bado ni changa sana kuweza kuwavutia watalii
Binafsi nadhani ndoto kubwa ya Dkt Jiwe ilikuwa ni kutransform Chattletown kuwa Manispaa na baada ya miongo michache liwe jiji. Katika muhula wake huu wa pili ndio alipanga kufanya uwekezaji mkubwa wa miundo mbinu hasa zile barabara za trade routes ili kuvutia wakazi wengi wa mikoa jirani kuhamia Chattletown kufanya uwe mji wa kibiashara na uliochangamka zaidi.
 
Kuna itayokufa na itayoendelea ...itayokufa ni kama
Airport maana hakutakua na ndege za kutua humo.
Mbuga ya burigi chato ambayo bado sana hata wanyama hawajaizoea
Hotel ya nyota 3 ya Tanapa.
Ikulu yao itadoda.


Miradi itayoendelea ni kama hosptal japo kwa kiwango kidogo
Shamba la miti.nk
 
hadi national housing wakaanza kuuza viwanja pembeni ya ziwa kwa laki sita binafsi nilivutuwa ila soon kunaenda kuwa pori la akiba
 
Haya maswali yatajibika kwa vitendo
 
Kuna miradi kama hiyo hotel I ya nyota tatu na uwanja wa mpira wa miguu itabidi kuiangalia upya. Miradi mingine inaweza kuendelea baada ya upembuzi yakinifu pia kama heshima kwa mwenzetu aliyeongoza taifa though Ile airport ndio baibai. Zitatua ndege za tanapa
 
Miradi haitakufa
Miradi haitakufa
Miradi haitakufa.

Sometimes upinzani hukosa maana kabisa, miradi ya chato iko Tanzania hamjakatazwa kuitumia.

Lakini kila siku ni makelele chato,chato,chatoooo.....so what?
Kuna watu humu kaka n wajuaji Sana,hakna MTU hata mmoja kweny hali y kawaid akafanikiwa akapasahau kwao hayupo na utakua n mpumbafu tu,hata huyo anaye raise hapa lazima ukpat nafasi upajali kwenu angali walipita na chato haikua kipaumbele walitaka nani aisemee,
 
Je uwanja wa ndege wa chatou utakuwa na faida kwa taifa?

Nani na abiria wapi watatumia huo uwanja wa ndege?

Hiyo Hotel itapata wapi wateja?
Kama hifadhi za Burigi -Chato zitaendelea kuwepo, uwanja utapata wateja na hoteli itajaa wageni. Lengo la kuanzisha hotel na uwanja wa ndege ni kwa ajili ya watalii wanaotembelea kwenye hifadhi hizo na kutoa huduma maeneo ya jirani. Waliomshauri mzee walijua ni kwa namna gani miundombinu hii inategemeana ili kutimiza lengo moja - UTALII
 
Sawa kwa mawazo yako mkuu lkn ukweli utabakia umesimama
 
Aisee!!

Pia usisahau kumuombea Ben saanane na yule mwandishi aliye potea mpaka leo hatujui yuko wapi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…