Kansigo JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 2,670 Reaction score 2,156 May 8, 2021 #301 Nimenukuu Kama Ifuatavyo👇Na naulizia mchakato umefikia wapi kwa anayejua UWANJA WA SOKA WA KISASA KUJENGWA CHATO. Serikali itajenga Uwanja wa soka wa kisasa katika eneo la Chato na utajulikana kama Chato Stadium. Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amesema Uwanja huo utakuwa wa pili kwa ukubwa baada ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kalemani amesema Uwanja huo utatumika kwa ajili ya kuvutia watalii na wawekezaji katika masuala ya utalii. Waziri Kalemani amesema Uwanja huo utaanza kujengwa hivi karibuni.
Nimenukuu Kama Ifuatavyo👇Na naulizia mchakato umefikia wapi kwa anayejua UWANJA WA SOKA WA KISASA KUJENGWA CHATO. Serikali itajenga Uwanja wa soka wa kisasa katika eneo la Chato na utajulikana kama Chato Stadium. Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amesema Uwanja huo utakuwa wa pili kwa ukubwa baada ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kalemani amesema Uwanja huo utatumika kwa ajili ya kuvutia watalii na wawekezaji katika masuala ya utalii. Waziri Kalemani amesema Uwanja huo utaanza kujengwa hivi karibuni.
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Feb 22, 2022 #302 Mailman said: Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk. Je, Serikali itaiendeleza? Click to expand... Asiyekuwepo na lake halipo
Mailman said: Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk. Je, Serikali itaiendeleza? Click to expand... Asiyekuwepo na lake halipo
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Apr 27, 2022 #303 Okay
Agrey998 JF-Expert Member Joined Jul 8, 2019 Posts 417 Reaction score 550 Apr 28, 2022 #304 Chato ni sehemu ya Tanzania pia na inahitaji maendeleo kama ilivyo sehemu yoyote ile nashangaa hospitali kubwa kuwekwa Chato inakuwa gumzo . Vitu vingine tujaribu kuwa positive
Chato ni sehemu ya Tanzania pia na inahitaji maendeleo kama ilivyo sehemu yoyote ile nashangaa hospitali kubwa kuwekwa Chato inakuwa gumzo . Vitu vingine tujaribu kuwa positive