muba uwa anawahoj wa2 enewz ya sam misago
hahahahaha ko mkuu we na umbea dam dam etNi kweli. Na huwa ananogesha habari kwenye kile kipindi cha Sam kwa sababu anapendelea sana zile za 'kimbea'
si wanaendelea kunyoa watu nywele na kuwaosha miguuu, au? ndo ilikuwa kazi yao.Kama tunavyoona Salama ameanza kuhost kipindi kipya cha Ngazi Kwa Ngazi na kuachana na kile cha awali cha Mkasi, ningependa kujua hatma ya hawa vijana wengine John na Muba waliokuwa wakiendesha kipindi pamoja na Salama, au wamerudi kwenye kazi yao ya kunyoa?View attachment 402006
hahahahaha ko mkuu we na umbea dam dam et
[emoji3] [emoji3] ,,,akiuliza swali lazima aanze na neno"INASEMEKANA"uyo john hakuwa na kaz yyt mkasi,binafsi nlikuwa simpend maswal yake yalikuwa hayana mbele wala nyma
Kujulikana(unavyomaanisha), It doesn't guarantee at all, sa hivi wanatakiwa waishi kwa ajili ya watu na sio maisha yao ya kawaida, na hiyo inawagharimu sana(mostly celeb... )Kitu cha muhimu ni kuwa wameshakuwa well known to the public as presenters, watapata tu fursa, mjini ujanja kupata si kuwahi.
Maana yangu ni kwamba, ikitokea fursa, ni rahisi hao kutafutwa kwanza.Kujulikana(unavyomaanisha), It doesn't guarantee at all, sa hivi wanatakiwa waishi kwa ajili ya watu na sio maisha yao ya kawaida, na hiyo inawagharimu sana(mostly celeb... )
Nkuulize!!, unatamani we ungekua mmoja wao!!!?, kati ya muba na huyo rasta!!?Maana yangu ni kwamba, ikitokea fursa, ni rahisi hao kutafutwa kwanza.
Kipindi kizima kilikuwa na utapiamlo wa elimu, ndiyo maana hata hao wakaweza kuwepo.uyo john hakuwa na kaz yyt mkasi,binafsi nlikuwa simpend maswal yake yalikuwa hayana mbele wala nyma
Hivi yule ni mubamuba uwa anawahoj wa2 enewz ya sam misago
Ndio mwenyew yule bibieHivi yule ni muba
Kwani kipindi kinataka nini mpaka useme ivyoKipindi kizima kilikuwa na utapiamlo wa elimu, ndiyo maana hata hao wakaweza kuwepo.
Salama anaweza kuuliza maswali au kusema vitu vya ovyoovyo vinavyoonesha kabisa tatizo la elimu ndogo.
Niliangalia kipindi kilichomuhoji January Makamba, nikategemea maswali magumu, nikawa disappointed.
Nikaambiwa nina high expectations, naangalia Mikasi huku nikitegemea maswali ya "Hard Talk" na "60 Minutes".Nikaambiwa hiyo ndiyo style yao.
Kuanzia hapo sijaangalia tena.
Aisee nilikua sijuag kala shavu bas anakimudu kipindi umbea anauwezaNdio mwenyew yule bibie