screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Kama tunavyoona Salama ameanza kuhost kipindi kipya cha Ngazi Kwa Ngazi na kuachana na kile cha awali cha Mkasi, ningependa kujua hatma ya hawa vijana wengine John na Muba waliokuwa wakiendesha kipindi pamoja na Salama, au wamerudi kwenye kazi yao ya kunyoa?