Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Nakushukuur mleta mada umefikilia future ya vijana wenzako ..gud sana
 
Sijamuonea Don Lemon. The guy is a moron, CNN in general is going down the toilet.

Hapo kulikuwa na maswali kibao technical, kwenda kuuliza black holes kwenye hiyo context ni preposterous, even worse, anajua kwamba swali ni preposterous na kasema hivyo, halafu anauliza.

He is lazily applying the "think outside the box" principle. One has to be methodical even when thinking outside the box.

Obviously he has not heard of Occam's razor, or if he has, it was a waste of time.

Hao nguli kina Sagan na wenzake wameuliza maswali katika context tofauti kabisa na huyo Lemon of a presenter. I am sure for someone who appreciate context like you, you can appreciate that.

Carl Sagan's Cosmo was remade by Neil DeGrasse Tyson.

What a legacy by a protege.

Hizo mada za kuwepo kwa Mungu unaweza kubishana na mtu hajui hata "logical consistency" ni nini.

Hata ukitaka kumuelekeza kitabu cha kusoma Kiingereza hajui, halafu anabisha mada ambayo habari zake katika Kiswahili hazipo!

How do you say "logical consistency" in Swahili?

Even if one finds the right vocab, it will sound like Mkapa's Swahili, total alien to the average clown.
Kiranga seems like you used to take things so serious (not all the time)hold on take easy for some stuffs

unajua hata kwenye kichaka kikavu kunakuaga na maua kama tu ukitaka kuyaona

Nampenda sana Don Lemon achilia mbali ule upuuzi wake wote ila kuna vitu ukitaka kujifunza pale unafaidika tu ni kichaka chenye uchafu mwingi na maua kadhaa yupo poa kiasi depends on your views

issue za "Existence of God" kuna wakati nahitaji kufungua mjadala kidogo na wewe tutajadili kama tutakubali kulinganiana
 
Kiranga seems like you used to take things so serious (not all the time)hold on take easy for some stuffs

unajua hata kwenye kichaka kikavu kunakuaga na maua kama tu ukitaka kuyaona

Nampenda sana Don Lemon kuna na upuuzi wake wote ila kuna vitu ukitaka kujifunza pale unafaidika kiasi depends on your views

issue za "Existence of God" kuna wakati nahitaji kufungua mjadala kidogo na wewe tutajadili kama tutakubali kulinganiana

Nimeelezea hapo juu ninavyo entertain clowns. I am taking it easy, that is why I did not start a thread on Salama.

You have to take it easy on me!

Inawezekana kwa level yako unaweza kujifunza kwa Don Lemon, wakati mimi nikimuangalia naona anachotakiwa kujifunza.

On the average, kwa sababu unaweza kujifunza chochote popote.

"Kulinganiana" maana yake nini? na tuki "linganiana" tutawezaje kuwa na haja ya kujadili ambayo imeshindikana sasa?
 
Bro, hayo ya juu tuyachukulie poa tu kwanza

Kulinganiana ni kujaribu kuchambua mambo yasioeleweka kwa mifano thabiti ili kupata bayana ambayo angalau inaweza kuridhisha pande mbili zinazokinzana

Kumbuka; sio lazima tukubaliane kwenye kila kitu ila tunaweza kulingana kwenye nyanja kadhaa
 
Umeandika jambo zuri sana, uthabiti wa mifano.

Uthabiti wa mifano, kwa mujibu wako, unakujaje?

Unajuaje mfano huu thabiti na mfano huu si thabiti?
 
Naelewa context, naelewa utani, na entertain mpaka clowns wa JF.

Hakuwa anatania - Bill Maher huwa anasema outrageous things, katika context ya utani, unajua anatania, mara nyingine mpaka anasema wazi "I kid, I kid"- Salama alikuwa as serious as a eugenics preaching NAZI in 1943 Berlin!

Yaani si kitu alichoanza kusema mara moja tu, wala si kitu alichokisema kwa mstari mmoja tu, ni story ambayo alianza kwa muda mrefu wakati wanamsubiri wanayetaka kumuhoji, huwa wana chit chat zao kama fillers. Kawaida chitchat za fillers huwa zinataka akili sana kwa sababu ni kama kitu impromptu na usipoangalia hpo katika kufanya improve on the fly kama huna upeo ndipo sehemu ambayo kuchemka ni rahisi sana.

Ningependa kweli kuona hiyo episode ya mkasi ambayo Salama alisema kuhusu machotara. Mkuu Kiranga unakumbuka mgeni alikuwa nani?
 
Kuna jambo bado kulielewa kuhusu hizi barber shops za kibongo.

Ukienda kunyoa ukimaliza ni kama wanakulazimisha ufanyiwe ile sijui ndo wanaita scrub wenyewe.

Mimi huwa naweka bayana kabisa kuwa sitaki mengine zaidi ya kunyoa tu.

Lakini huwa naishia kuonekana mshamba. Huwa wananishangaa sana.

Matokeo yake nami huwa nawashangaa!

Tunabaki tunashangaana tu.
yea na maisha ni kushangaana!
 
Ningependa kweli kuona hiyo episode ya mkasi ambayo Salama alisema kuhusu machotara. Mkuu Kiranga unakumbuka mgeni alikuwa nani?
Si mwaka huu wala mwaka jana, ni kati ya 2014 au 2013 kama sikosei.

Nanza kuzipitia zile chache nilizoziangalia ili kuipata hiyo.

Let me say this, kwa nchi ambayo haina talk/ interview shows nyingi, Salama Jabir anafanya service kubwa pia, sitaki kum dismiss kabisa.

Ningependa tu kuona kipindi kinakuwa kizuri zaidi.

Salama akiwa anahoji watu si mbaya hivyo, zile chitchat wanazofanya kabla mara nyingi ndiyo zinakuwa na viroja, kama mtu anayelazimisha small talk wakati hajui cha kusema.

Hapa namuangalia Dullah Mwinyi . Amenikumbusha Salama (Salama Mwinyi, siyo Salama Jabir)

Dullah kaelezea vizuri sana na maisha ya hawa watoto tulivyosoma nao shule yanaendana kabisa na alivyosema.

Nyani Ngabu
 
Si mwaka huu wala mwaka jana, ni kati ya 2014 au 2013 kama sikosei.

Nanza kuzipitia zile chache nilizoziangalia ili kuipata hiyo.

Let me say this, kwa nchi ambayo haina talk/ interview shows nyingi, Salama Jabir anafanya service kubwa pia, sitaki kum dismiss kabisa.

Ningependa tu kuona kipindi kinakuwa kizuri zaidi.

Hapa namuangalia Dullah Mwinyi . Amenikumbusha Salama (Salama Mwinyi, siyo Salama Jabir)

Dullah kaelezea vizuri sana na maisha ya hawa watoto tulivyosoma nao shule yanaendana kabisa na alivyosema.

Nyani Ngabu

Damn...I wonder where those folks are now...Dullah....Salama....Abdulrahman...
 
Damn...I wonder where those folks are now...Dullah....Salama....Abdulrahman...
Salama was at Citi and BOT halafu sijamsikia tena.

Tulikuwa tunasoma na mtoto wa rais mpaka hatuamini kama huyu mtoto wa rais alivyokuwa low key.

Pale kulikuwa na home training fulani na mambo ya dini dini kiaina inacheza.
 
Kama tunavyoona Salama ameanza kuhost kipindi kipya cha Ngazi Kwa Ngazi na kuachana na kile cha awali cha Mkasi, ningependa kujua hatma ya hawa vijana wengine John na Muba waliokuwa wakiendesha kipindi pamoja na Salama, au wamerudi kwenye kazi yao ya kunyoa?View attachment 402006

Muba c ana ofisi yake y kunyoa anaendelea kama kawa.
 
Nimekubali mawazo yenu, nime quote ili comments zenu zibaki kwenye kurasa yangu. Siku nikiwa vyema niweze kupitia kwa urahisi. Amekosekana Pasco tu ili timu ikamilike.
Oh wow!

Nimekupata na ahsante kwa kuyakubali hayo majadiliano.

Nimepata pongezi kutoka kwa wengine pia.
 
Kipindi kizima kilikuwa na utapiamlo wa elimu, ndiyo maana hata hao wakaweza kuwepo.

Salama anaweza kuuliza maswali au kusema vitu vya ovyoovyo vinavyoonesha kabisa tatizo la elimu ndogo.

Niliangalia kipindi kilichomuhoji January Makamba, nikategemea maswali magumu, nikawa disappointed.

Nikaambiwa nina high expectations, naangalia Mkasi huku nikitegemea maswali ya "Hard Talk" na "60 Minutes".Nikaambiwa hiyo ndiyo style yao.

Kuanzia hapo sijaangalia tena.
Akili ndogo VS akili kubwa
 
Hicho mbona nafanya kila siku, huwezi kujua kwa sababu nafanya kichwani kwangu.
naweza kukuweka katika kundi la ZERO brain!!! hujielewi unachasema, na huna upeo wa kucheza na mazingira..Je unajua maana halisi ya hicho kipindi?? je unajua waliwalenga akina nani??? Je unajua ile ni biashara na inatakiwa iendane na mazingira halisi?? Je ulitaka kipindi kiendeshwe kisomi sana kwa class ya U.K or any developed country chenye contents zile??Watu kama wewe huwa ni zero katika maisha kwa kushindwa kusoma alama za nyakati....
 
Unajua kusoma?

Umesoma nilichoandika hapo juu? Au umerukia tu?
 
Back
Top Bottom