Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Nakushukuur mleta mada umefikilia future ya vijana wenzako ..gud sana
 
Kiranga seems like you used to take things so serious (not all the time)hold on take easy for some stuffs

unajua hata kwenye kichaka kikavu kunakuaga na maua kama tu ukitaka kuyaona

Nampenda sana Don Lemon achilia mbali ule upuuzi wake wote ila kuna vitu ukitaka kujifunza pale unafaidika tu ni kichaka chenye uchafu mwingi na maua kadhaa yupo poa kiasi depends on your views

issue za "Existence of God" kuna wakati nahitaji kufungua mjadala kidogo na wewe tutajadili kama tutakubali kulinganiana
 

Nimeelezea hapo juu ninavyo entertain clowns. I am taking it easy, that is why I did not start a thread on Salama.

You have to take it easy on me!

Inawezekana kwa level yako unaweza kujifunza kwa Don Lemon, wakati mimi nikimuangalia naona anachotakiwa kujifunza.

On the average, kwa sababu unaweza kujifunza chochote popote.

"Kulinganiana" maana yake nini? na tuki "linganiana" tutawezaje kuwa na haja ya kujadili ambayo imeshindikana sasa?
 

Bro, hayo ya juu tuyachukulie poa tu kwanza

Kulinganiana ni kujaribu kuchambua mambo yasioeleweka kwa mifano thabiti ili kupata bayana ambayo angalau inaweza kuridhisha pande mbili zinazokinzana

Kumbuka; sio lazima tukubaliane kwenye kila kitu ila tunaweza kulingana kwenye nyanja kadhaa
 

Umeandika jambo zuri sana, uthabiti wa mifano.

Uthabiti wa mifano, kwa mujibu wako, unakujaje?

Unajuaje mfano huu thabiti na mfano huu si thabiti?
 

Ningependa kweli kuona hiyo episode ya mkasi ambayo Salama alisema kuhusu machotara. Mkuu Kiranga unakumbuka mgeni alikuwa nani?
 
yea na maisha ni kushangaana!
 
Ningependa kweli kuona hiyo episode ya mkasi ambayo Salama alisema kuhusu machotara. Mkuu Kiranga unakumbuka mgeni alikuwa nani?
Si mwaka huu wala mwaka jana, ni kati ya 2014 au 2013 kama sikosei.

Nanza kuzipitia zile chache nilizoziangalia ili kuipata hiyo.

Let me say this, kwa nchi ambayo haina talk/ interview shows nyingi, Salama Jabir anafanya service kubwa pia, sitaki kum dismiss kabisa.

Ningependa tu kuona kipindi kinakuwa kizuri zaidi.

Salama akiwa anahoji watu si mbaya hivyo, zile chitchat wanazofanya kabla mara nyingi ndiyo zinakuwa na viroja, kama mtu anayelazimisha small talk wakati hajui cha kusema.

Hapa namuangalia Dullah Mwinyi . Amenikumbusha Salama (Salama Mwinyi, siyo Salama Jabir)

Dullah kaelezea vizuri sana na maisha ya hawa watoto tulivyosoma nao shule yanaendana kabisa na alivyosema.


Nyani Ngabu
 
Damn...I wonder where those folks are now...Dullah....Salama....Abdulrahman...
 
Damn...I wonder where those folks are now...Dullah....Salama....Abdulrahman...
Salama was at Citi and BOT halafu sijamsikia tena.

Tulikuwa tunasoma na mtoto wa rais mpaka hatuamini kama huyu mtoto wa rais alivyokuwa low key.

Pale kulikuwa na home training fulani na mambo ya dini dini kiaina inacheza.
 

Muba c ana ofisi yake y kunyoa anaendelea kama kawa.
 
Nimekubali mawazo yenu, nime quote ili comments zenu zibaki kwenye kurasa yangu. Siku nikiwa vyema niweze kupitia kwa urahisi. Amekosekana Pasco tu ili timu ikamilike.
Oh wow!

Nimekupata na ahsante kwa kuyakubali hayo majadiliano.

Nimepata pongezi kutoka kwa wengine pia.
 
Akili ndogo VS akili kubwa
 
Hicho mbona nafanya kila siku, huwezi kujua kwa sababu nafanya kichwani kwangu.
naweza kukuweka katika kundi la ZERO brain!!! hujielewi unachasema, na huna upeo wa kucheza na mazingira..Je unajua maana halisi ya hicho kipindi?? je unajua waliwalenga akina nani??? Je unajua ile ni biashara na inatakiwa iendane na mazingira halisi?? Je ulitaka kipindi kiendeshwe kisomi sana kwa class ya U.K or any developed country chenye contents zile??Watu kama wewe huwa ni zero katika maisha kwa kushindwa kusoma alama za nyakati....
 
Unajua kusoma?

Umesoma nilichoandika hapo juu? Au umerukia tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…