Mtoto wa kijiji
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 319
- 184
Hivi ni Malima au ni Yule dada aliyewahi kuwa miss sijui ila wako vibaya sana ingawa wenyewe wamejitajirisha sanaMkuu hawa watu wanaelekea kutangaza kufirisika, hata CEO wao nasikia kakimbia. Ongea na wafanyakazi watakwambia mara ya mwisho wamepata mishahara lini.
I gues ni Malima yule ni dada yake huyo miss si miss mwenyewe.Hivi ni Malima au ni Yule dada aliyewahi kuwa miss sijui ila wako vibaya sana ingawa wenyewe wamejitajirisha sana
Halafu miaka michache iliyopita wamekufa wadosi wengi sana wa Pride sijui waliondoka na mtaji...nawaza tu maanaI gues ni Malima yule ni dada yake huyo miss si miss mwenyewe.
Malima,nasikia kakimbia.Hivi ni Malima au ni Yule dada aliyewahi kuwa miss sijui ila wako vibaya sana ingawa wenyewe wamejitajirisha sana