Nini hatma ya pride Tanzania?

Nini hatma ya pride Tanzania?

Mtoto wa kijiji

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
319
Reaction score
184
Kupata mkopo tawi la Pride hapa Arusha imekuwa ngumu sana.Ukiomba mkopo wanasema hawana pesa,wako ktk mchakato wa kulipa kodi.Kuna watu wamejitoa baada ya kuona hawapewi mikopo lakini kila wakidai akiba zao hakuna majibu ya kuridhisha.

Akiba zile ni haki ya mkopaji kwa mujibu wa utendaji kazi wao.Kama hawatoi mikopo kwa nn wasilipe akiba za wateja wao ambao wamejitoa?
Nasindwa kuelewa hatma ya hawa Pride.

Kesho yao ni kma ina mashaka...
 
Mkuu hawa watu wanaelekea kutangaza kufirisika, hata CEO wao nasikia kakimbia. Ongea na wafanyakazi watakwambia mara ya mwisho wamepata mishahara lini.
 
Mkuu hawa watu wanaelekea kutangaza kufirisika, hata CEO wao nasikia kakimbia. Ongea na wafanyakazi watakwambia mara ya mwisho wamepata mishahara lini.
Hivi ni Malima au ni Yule dada aliyewahi kuwa miss sijui ila wako vibaya sana ingawa wenyewe wamejitajirisha sana
 
Hivi ni Malima au ni Yule dada aliyewahi kuwa miss sijui ila wako vibaya sana ingawa wenyewe wamejitajirisha sana
I gues ni Malima yule ni dada yake huyo miss si miss mwenyewe.
 
I gues ni Malima yule ni dada yake huyo miss si miss mwenyewe.
Halafu miaka michache iliyopita wamekufa wadosi wengi sana wa Pride sijui waliondoka na mtaji...nawaza tu maana
 
hhaha ao walishakufa aisee...amna kitu tena ata izo collateral zenu kupewa ni ndoto yamchana
 
kama afisa kajibu hakuna pesa hiyo akiba unapewaje au anaichora
 
Back
Top Bottom