Mtoto wa kijiji
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 319
- 184
Kupata mkopo tawi la Pride hapa Arusha imekuwa ngumu sana.Ukiomba mkopo wanasema hawana pesa,wako ktk mchakato wa kulipa kodi.Kuna watu wamejitoa baada ya kuona hawapewi mikopo lakini kila wakidai akiba zao hakuna majibu ya kuridhisha.
Akiba zile ni haki ya mkopaji kwa mujibu wa utendaji kazi wao.Kama hawatoi mikopo kwa nn wasilipe akiba za wateja wao ambao wamejitoa?
Nasindwa kuelewa hatma ya hawa Pride.
Kesho yao ni kma ina mashaka...