Watakuambia pia na deni himilivu😁Wahusika wa mahesabu na thamani ya fedha watatuambia ni kawaida tu.Hutokea hata Ulaya.🤔
Kwa ufupi wataendelea kutujibu majibu mepesi kwa masuala tata.Watakuambia pia na deni himilivu😁
Tuna lack of critical thinkers na hata wakiwepo hatuwataki tunataka vipaji porojoSio wachumi tu sekta zote wasomi huwa tuna tabia ya kufanya kazi kwa mazoea hamna msomi ambaye anafikiria nje ya box
Mwaka huu mwishoni itafika 2,900Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024
Nini maoni yako, wapi tunakosea turekebishe nini au tufanye nini kama nchi.
Haya yote kasababisha Magufuli.
Shilingi 22 za Tanzania ilikua ni shilingi 1 ya kenya kwa muda mrefu sana, Hela yetu ilipanda sana compare na Kenya hadi ikawa shilingi 16 Za Tanzania ni 1 ya kenya, sasa hivi ni around 21 tsh ni 1ksh so almost zinarudi parity. Upo sahihi.Shilingi ya Kenya na ya Tanzania hazina tofauti kwa miaka mitano iliyopita.
Mwezi February Shillingi ya Kenya ilidondoka kwa asilimia karibu 30 na kufanya GDP ya Kenya na Tanzania kuwa na thamani sawa kwa takriban wiki moja.
Shilingi ya Kenya imedondoka sana, ni basi tu inalazimishwa kukaa ilipo.