Nini hiki alichokishika Aziz Ki?

mojawapo ya kitu kinachonikera ni kuona mwanaume mtu mzima kabisa, ameweka hizo waya kwenye meno kama demu. mwanaume unatengeneza uzuri wa meno ili umpendezeshe nani? ili ukiyakenua yawe mazuri au nini hata huwa sielewi. musonda naye aliweka manyaya hayo, na wakiweka wanapenda kweli kukenua meno ili tuyaone.
 
Baada ya ushindi wa kishindo cha Yanga mashabiki wa Simba wamechanganyikiwa wamekuwa wanaongoza kwa kuleta uzi za ovyo humu. Sasa hiyo mbona inaonekana ni vocha.
Nilisema hao jamaa ni mijinga jinga na mbumbumbu
 
Hiyo ni kuweka meno yakae vizuri, kuna watu meno huwa yanapandana. Yaani jino moja linaota juu ya jingine.
Au meno yanatokeza nje kabisa ya mdomo na kufanya mtu ashindwe kufumba mdomo.

Sasa wewe kunguru unadhani ni urembo, bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…