Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vumbi la Kongo lile lilitumika hata kwenye ile 5G ya 5 November.Mbona mna hasira sana nyie MAJINI FC? Jibuni tuu
Gentleman ninayejitambua huwa napuuza povu la Ke Mjamzito, ongeza povu Makolokolo [emoji23]
Ubinadamu ungekuwa unaujua usingekuwa unabandika kila post hayo majina kipumbavu, hunaga hoja zaidi ya huo upumbavu, ukipost nakurudia tena kukuita hivo hadi akili ikukae sawaGentleman ninayejitambua huwa napuuza povu la Ke Mjamzito, ongeza povu Makolokolo [emoji23]
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Vinafanana, picha moja ni kwa juu na nyingine ni ubavuniIna maana macho yamezeeka kiasi hiki? Sioni picha ya kitu alichoshika Aziz Ki kikifanana hiki kitu ulichoweka hapo kimuonekano havifanani
Ok tufanye ndio hiyo kwenye picha, je kuna tofauti gani kati ya mtu anayevuta sigara na hiyo kitu?Vinafanana, picha moja ni kwa juu na nyingine ni ubavuni