Nini hiki alichokishika Aziz Ki?

Nini hiki alichokishika Aziz Ki?

Mbona mna hasira sana nyie MAJINI FC? Jibuni tuu
 
Gentleman ninayejitambua huwa napuuza povu la Ke Mjamzito, ongeza povu Makolokolo [emoji23]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ubinadamu ungekuwa unaujua usingekuwa unabandika kila post hayo majina kipumbavu, hunaga hoja zaidi ya huo upumbavu, ukipost nakurudia tena kukuita hivo hadi akili ikukae sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana macho yamezeeka kiasi hiki? Sioni picha ya kitu alichoshika Aziz Ki kikifanana hiki kitu ulichoweka hapo kimuonekano havifanani
Vinafanana, picha moja ni kwa juu na nyingine ni ubavuni
 
Vinafanana, picha moja ni kwa juu na nyingine ni ubavuni
Ok tufanye ndio hiyo kwenye picha, je kuna tofauti gani kati ya mtu anayevuta sigara na hiyo kitu?
Na je hiyo kitu kimezuiwa kutumiwa na wachezaji wa mpira?
 
Back
Top Bottom