Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto kuumwa hasa wanapata homa kali, kifua namafua.
Kwa utafiti wangu nimeona watoto wa jirani na rafiki zangu watoto wao kama 20 hivi wakiwa wanapata shida hiyo.
Majuma mawili yaliyopita watoto wangu wote wawili (Twins) wakawa wanapata homa kali, kifua, mafua na Kutapika.
Nilipoenda Hosp kupima kila kitu majibu yakawa hamna chochote wanaumwa zaidi nikapewa Paracetamol tu, nikawapa na baada ya siku tatu wakawa vizuri.. Kifua na mafua nikawapa tangawizi pamoja na asali tu
Wiki hii kuanzia Jumatatu mpka leo imeanza kwangu yaani ikifika jioni tu mwili unachoka sana, kifua kubana, homa na maumivu mwili mzima.
Nadhani ni wakati muafaka kwa Serikali kupitia wizara ya Afya kuja na tamko kwa wananchi ili kuchukua tahadhari mapema.