Tulishaambiwa tunawe mikono,tuvae barakoa na tuchanje unataka tamko gani tenaNadhani ni wakati muafaka kwa Serikali kupitia wizara ya Afya kuja na tamko kwa wananchi ili kuchukua tahadhari mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulishaambiwa tunawe mikono,tuvae barakoa na tuchanje unataka tamko gani tenaNadhani ni wakati muafaka kwa Serikali kupitia wizara ya Afya kuja na tamko kwa wananchi ili kuchukua tahadhari mapema
Kwahiyo shikamoo ndio heshima? Hivi mtu anayekuheshimu unaweza kumbinuwabinuwa?Matola kwanini shem hataki kukuamkia?Wengine tumezoea kuamkiwa, namzidi mke miaka 6.
Hivi unajuwa kilichomuondowa Dr Mwele Malecela pale NIMR ni nini?Ukishaona nchi inapigwa na maradhi halafu hayana jina, ujue hakuna huduma ya afya ya kueleweka...
Vilevile kitengo cha reasearch magonjwa ya milipuko kimelala, maana kwa wenzetu huu ndio muda vituo kama hivi vinajitokeza na kutoa ufafanuzi na nini watu wafanye...
Salaam na heshima ni vitu viwili tofauti, japo kuna wakati vinaenda pamoja. Tatizo wewe unaogopa uzee, Mtu mwenye umri mdogo kuliko wewe unataka naye akuite kwa jina lako? Sio sawa, hata mwanao pia unataka akuite kwa jina lako?Kwahiyo shikamoo ndio heshima? Hivi mtu anayekuheshimu unaweza kumbinuwabinuwa?
Mimi sitaki ujinga ujinga huo kabisa, hata kuitwa Baba fulani sipendi pia, napenda mtu aniite kwa jina langu.
Hivi unajuwa kilichomuondowa Dr Mwele Malecela pale NIMR ni nini?
Ukishaona nchi inapigwa na maradhi halafu hayana jina, ujue hakuna huduma ya afya ya kueleweka...
Vilevile kitengo cha reasearch magonjwa ya milipuko kimelala, maana kwa wenzetu huu ndio muda vituo kama hivi vinajitokeza na kutoa ufafanuzi na nini watu wafanye...
Haya yanawahusu watu wa hapahapa, lakini ukiwa na exposure japo ndogo tu utaelewa ulimwengu uliostaarabika hakuna mambo haya.Salaam na heshima ni vitu viwili tofauti, japo kuna wakati vinaenda pamoja. Tatizo wewe unaogopa uzee, Mtu mwenye umri mdogo kuliko wewe unataka naye akuite kwa jina lako? Sio sawa, hata mwanao pia unataka akuite kwa jina lako?
Matola kila Ulimwengu una ustaarabu wake, ukiiga ustaarabu wa ulimwengu mwingine na ukajifanya huo ndi bora utakuwa unajidharau mwenyewe, bahati mbaya mswahili ni mtu pekee asiyethamini ustaarabu wake kwa kuwa hajiamini, Wahindi wana ustaarabu wao na wanauthamini sana popote walipo wanaishi katika circle ya ustaarabu wao, na hayo ndio maisha.Haya yanawahusu watu wa hapahapa, lakini ukiwa na exposure japo ndogo tu utaelewa ulimwengu uliostaarabika hakuna mambo haya.
Watu wanaitana kwa majina yao na siyo baba fulani au mama fulani,
Kwenye heshima labda kwa Baba na mama na anko.
Mliobaki mtaitana kwa majina yenu.