Nini hiki kinaendelea kwa watoto na watu wazima?

Nadhani ni wakati muafaka kwa Serikali kupitia wizara ya Afya kuja na tamko kwa wananchi ili kuchukua tahadhari mapema
Tulishaambiwa tunawe mikono,tuvae barakoa na tuchanje unataka tamko gani tena
 
Matola kwanini shem hataki kukuamkia?Wengine tumezoea kuamkiwa, namzidi mke miaka 6.
Kwahiyo shikamoo ndio heshima? Hivi mtu anayekuheshimu unaweza kumbinuwabinuwa?

Mimi sitaki ujinga ujinga huo kabisa, hata kuitwa Baba fulani sipendi pia, napenda mtu aniite kwa jina langu.
 
Hivi unajuwa kilichomuondowa Dr Mwele Malecela pale NIMR ni nini?
 
Kwahiyo shikamoo ndio heshima? Hivi mtu anayekuheshimu unaweza kumbinuwabinuwa?

Mimi sitaki ujinga ujinga huo kabisa, hata kuitwa Baba fulani sipendi pia, napenda mtu aniite kwa jina langu.
Salaam na heshima ni vitu viwili tofauti, japo kuna wakati vinaenda pamoja. Tatizo wewe unaogopa uzee, Mtu mwenye umri mdogo kuliko wewe unataka naye akuite kwa jina lako? Sio sawa, hata mwanao pia unataka akuite kwa jina lako?
 
Hivi unajuwa kilichomuondowa Dr Mwele Malecela pale NIMR ni nini?

Hahah nakumbuka mkuu...

Lakini hawa wakuu wa hicho kitengo hawawezi endelea kaa kimya kwa hofu ya watawala...
 
Hizi kazi za MICROBIOLOGISTS wapambane asee
 
Salaam na heshima ni vitu viwili tofauti, japo kuna wakati vinaenda pamoja. Tatizo wewe unaogopa uzee, Mtu mwenye umri mdogo kuliko wewe unataka naye akuite kwa jina lako? Sio sawa, hata mwanao pia unataka akuite kwa jina lako?
Haya yanawahusu watu wa hapahapa, lakini ukiwa na exposure japo ndogo tu utaelewa ulimwengu uliostaarabika hakuna mambo haya.

Watu wanaitana kwa majina yao na siyo baba fulani au mama fulani,

Kwenye heshima labda kwa Baba na mama na anko.

Mliobaki mtaitana kwa majina yenu.
 
Sema hii ya sahivi sio kali, maana ata mafua yake sio makali na headache yake ni ya kawaida sana.

Tufanye mazoezi wapendwa
 
Matola kila Ulimwengu una ustaarabu wake, ukiiga ustaarabu wa ulimwengu mwingine na ukajifanya huo ndi bora utakuwa unajidharau mwenyewe, bahati mbaya mswahili ni mtu pekee asiyethamini ustaarabu wake kwa kuwa hajiamini, Wahindi wana ustaarabu wao na wanauthamini sana popote walipo wanaishi katika circle ya ustaarabu wao, na hayo ndio maisha.
Wakati wewe unaudharau ustaarabu wako mwingine anakuthamini na kuuthamini ustaarabu wako.
Thamini cha kwako.
 
Me mwenyewe nipo hoiiii hapa.Koo linawasha,mafua makali,kichwa kinaniuma jamaaani,kifua kinabalu na kuhema kwa nguvu.Asubuhi hii nimetapika sn nyonngo ndo like nikapata relief hivi.

Ninafanya mpango nichemshe tangawizi na limao,vitunguu Saumu na vitunguu maji ninywe nione tuone nitashindaje.Nimeze na paracetamol pia.
Usiku nilikuwa najau nakata moto yanii
 
Ulimwengu unatakiwa utumie njia ya kijeshi kukagua maabara zote China na marekani 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…