Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Kuna factors nyingi ikiwemo malisho Bora, tiba sahihi, mbegu ya ng'ombe husika,matunzo na kuwajali wanyama, nk
Malalamiko hayatakufikisha popote. Wakati wewe unalalamika na CCM, Kuna wenye malisho Yao binafsi. Hakuna anayekatazwa kumiliki Shamba lake la ufugaji. Pia Kuna wanaoomba vitalu vya ufugaji kwenye ranch za Taifa. Nenda Kibebe Farm ana ekari 4,000, nenda pale Ndiwiri-Kilolo, nenda kwa Mtanga Farm kaone. Sehemu nyingi tu kwa Sasa watu wanafanya unenepeshaji wa mifugo.Shida serikali ya ccm haitaki wafugaji waendeleaje..karne hii waancha watu wanazurura hovyo na ngombe..wakiharibu mazingira na kukausha vyanzo vya maji.
Inapaswa wapewe vitalu vya ufugaji..wapewe wataalamu katika maeneo husika..wapewe mbegu bora..malisho bora...soko la nyama lipo na haliwezi kuisha ndani na nje ya nchi.
#MaendeleoHayanaChama
Wewe ndio hujaja na solution..umekula kulalamika pia..sio ngelei hao wenye hiyo mitaji..naongelea wasukuma..wamasai na wamangati wanaozurula nchi nzima kusaka malisho..je hao serikali yako ya ccm imewasaidiaje.?Malalamiko hayatakufikisha popote. Wakati wewe unalalamika na CCM, Kuna wenye malisho Yao binafsi. Hakuna anayekatazwa kumiliki Shamba lake la ufugaji. Pia Kuna wanaoomba vitalu vya ufugaji kwenye ranch za Taifa. Nenda Kibebe Farm ana ekari 4,000, nenda pale Ndiwiri-Kilolo, nenda kwa Mtanga Farm kaone. Sehemu nyingi tu kwa Sasa watu wanafanya unenepeshaji wa mifugo.
Kwa Nini unakazana na "kusaidiwa"?Wewe ndio hujaja na solution..umekula kulalamika pia..sio ngelei hao wenye hiyo mitaji..naongelea wasukuma..wamasai na wamangati wanaozurula nchi nzima kusaka malisho..je hao serikali yako ya ccm imewasaidiaje.?
#MaendeleoHayanaChama
Asante Kwa mawazo yako mazuri,ni kweli kulalamika hakutufikishi popote.Malalamiko hayatakufikisha popote. Wakati wewe unalalamika na CCM, Kuna wenye malisho Yao binafsi. Hakuna anayekatazwa kumiliki Shamba lake la ufugaji. Pia Kuna wanaoomba vitalu vya ufugaji kwenye ranch za Taifa. Nenda Kibebe Farm ana ekari 4,000, nenda pale Ndiwiri-Kilolo, nenda kwa Mtanga Farm kaone. Sehemu nyingi tu kwa Sasa watu wanafanya unenepeshaji wa mifugo.
Vyote unenepeshaji na ng'ombe wa maziwa. Kilolo mashamba ya wazungu yapo mengi hasa wilaya za Kilolo na Iringa vijijini.Asante Kwa mawazo yako mazuri,ni kweli kulalamika hakutufikishi popote.
Nataka kujua hayo mashamba Ndiwiri Kilolo,Kibebe na Mtanga yapo wapi yaani kijiji gani na wilaya gani,je wanahusika na unenepeshaji tu au na ngombe wa maziwa?
Pia nimelisikia shamba la mzungu lipo Kilolo anafuga ng'ombe wa maziwa unalifahamau?nalo lipo kijiji gani.
Sawa hayo mashamba uliyoyataja yapo vijiji gani na wilaya gani, nataka nitembelee kujifunza.Vyote unenepeshaji na ng'ombe wa maziwa. Kilolo mashamba ya wazungu yapo mengi hasa wilaya za Kilolo na Iringa vijijini.
Kibebe farm ipo Iringa nje kidogo ya Ipogoro. Ndiwiri ipo njia ya kuelekea Kilolo kutokea ipogoro. Mtanga fika mtanga butcher uhindini Iringa utaelekezwa. Kikongoma Kalenga kwa akina MT. Nduli kwa Asas......kama utapata appointment. Unaweza kukuta hata huko ulipo, yapo mashamba ya wafugaji. Watu wamewekeza kila mahali.Sawa hayo mashamba uliyoyataja yapo vijiji gani na wilaya gani, nataka nitembelee kujifunza.
Nashukuru.Kibebe farm ipo Iringa nje kidogo ya Ipogoro. Ndiwiri ipo njia ya kuelekea Kilolo kutokea ipogoro. Mtanga fika mtanga butcher uhindini Iringa utaelekezwa. Kikongoma Kalenga kwa akina MT. Nduli kwa Asas......kama utapata appointment. Unaweza kukuta hata huko ulipo, yapo mashamba ya wafugaji. Watu wamewekeza kila mahali.
Yeye anajua kuilalamikia CCM tu utafikiri imembebea kichwa....Malalamiko hayatakufikisha popote. Wakati wewe unalalamika na CCM, Kuna wenye malisho Yao binafsi. Hakuna anayekatazwa kumiliki Shamba lake la ufugaji. Pia Kuna wanaoomba vitalu vya ufugaji kwenye ranch za Taifa. Nenda Kibebe Farm ana ekari 4,000, nenda pale Ndiwiri-Kilolo, nenda kwa Mtanga Farm kaone. Sehemu nyingi tu kwa Sasa watu wanafanya unenepeshaji wa mifugo.
Raisi Mkapa aliwahi kusema "Lawama ni tamu sana ikiwa inatoka kinywani mwako". Ni rahisi Sana kulaumu na kulalamika kuliko kuchukua hatuaYeye anajua kuilalamikia CCM tu utafikiri imembebea kichwa....
Habarini ndugu wa JF,
Tupeane mawazo hapa kwenye hii mada tafadhali. Kwann jamii zetu nyingi zinashindwa kuzalisha ng'ombe nyama wa kutosha? Je, tuchukue hatua gani maana ng'ombe nyama wanalipa bana kama ukifankiwa kuwakuza.
Bwana salmin siraj Mimi napingana na wewe. Serikali imefanya mengi tu kwenye sekta ya kilimo na ufugaji. Miradi ya ASDP ipo tangu miaka ya 2008 kuwaelimisha kilimo na ufugaji wa kibiashara. SAGCOT, MIVARF yote imekuja miaka takribani 10 iliyopita. Kuna mabwana mifugo kila halmashauri mpaka kwenye majiji. Kuna kata Zina bwana/bibi mifugo. Ulitaka serikali ifanye nini la ziada?Binafsi naona serikali aijaweka kiupambele swala la wafugaji kama sector ya kukuza uchumi wa ndani na nje kuna changamoto nyingi kubwa zaidi ni ukosefu wa elimu kwa wafugaji sjaona serikali ikiweka mpango mkakati wa kuweka wataalamu kuwaelimisha wafugaji ufugaji wenye tija mfano jinsi ya kupanda malisho ,kupunguza idadi kubwa ya wanyama katika eneo moja au athari za kimazngira zinazosababishwa na overstocking /overgrazing
Pili kuna ukosefu wa breed za ngombe wa nyama wenye tija ukiangalia ngmbe wa mmasai anatumia miaka mingi kufikia uzito wa kuchinjwa ambapo aileti faida zaida yankuaribu mazingira .
Tatu ukosefu wa malisho wa kutosha pamoja na kua na ardhi kubwa hapa tz lakini bado kuna changamoto ya uhaba wa malisho hasa kipindi cha kiangazi matokea yake kunakua idadi kubwa ya vifo vya wanyama kila mwaka
Mwisho naweza kusema wafugaji wangepatiwa elimu juu ufugaji wa kisasa na kuachana na ufugaji wa zamani wajue kupanda malisho mbali mbali kwenye maeneo yao ili kupunguza kuhama hapa na pale kufuata malisho hata pia jinsi ya kutunza vyanzo vya maji ,kuzalisha malisho na kuyastore kama silage na hay kuhakikisha upatikanaji wa tiba za wanyama pia
Je wahusika wanaitafuta?Elimu ya ufugaji muhimu sana