Nini huja akilini mwako unaposikia neno Kenya?

Nini huja akilini mwako unaposikia neno Kenya?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu

Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?

Tushukuru Mungu Tz...Mwarabu amekaa...mjerumani akaijenga na kuitawala...mwingereza amekaa na akatupatia uhuru...kibantu kilee...Tz intellegensia ipo imara haswa...wote hapo juu ni ndugu zetu na wana maslahi huku..sasa tukija kenya..ongezea
 
Tausi ...miaka Ile ya 1998_99...Nchi ilikuwa inatulia tuli ..tukiwa UDsm ,hata kuwe na paper utatafuta Chumba chenye luninga! Kuna mshikaji alikuwa na luninga ya mbao pale Hall One.🤭😁😁😁😁 We acha tu! Dunia inaenda Kasi...tumshukiru Mungu sisi tulioishi vizazi vyote ...1970/1999 na 2000_ to date,tumeshuhudia mabadiliko ya ajabu!
 
Ulikuwa mwanachuo au mtumishi UDSM?
 
Back
Top Bottom