Nini huja akilini mwako unaposikia neno Kenya?

Nini huja akilini mwako unaposikia neno Kenya?

Mimi nikisikia Kenya au mkenya moja kwa moja akili yangu inawaza utapeli au tapeli 😂😂😂
 
Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu

Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?

View attachment 3004170
Hakuna hata moja hapo.. Ni nchi yenye watu watata na wenye confidence.
 
Back
Top Bottom