Nini huja akilini mwako unaposikia neno Kenya?

Nini huja akilini mwako unaposikia neno Kenya?

Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu

Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?

View attachment 3004170
Sio kweli. Ukitaja tu Tanzania ukiwa Kenya kinachowajia kichwani mwao ni nchi ya WAOGA,WAJINGA,WASIOJUA CHOCHOTE. Hata rais wao wa zamani mzee JOMO KENYATA aliwahi kusema WaTanzania ni maiti hawawezi kujitetea.

Kinachonijia akilini ukitaja Kenya ni kwamba Kenya imekaa tayari muda wote kunufaika kutoka Tanzania ksbb ya kulala kwetu.
Mfano mdogo tu. Ulaya yote/wazungu wanajua mlima Kilimanjaro uko Kenya na wanafikia Kenya ku-visit mlima Kilimanjaro. Pia wanajua mbuga ya Serengeti iko Kenya na Wanafikia Kenya ku-visit pia Serengeti. Kwa maana hiyo sasa Kenya wanavuna pesa nyingi sana ambazo ilikuwa halali yetu, kwa vivutio vilivyoko Tanzania ksbb ya kulala milele kwetu.

Kenya wanaitegemea Tanzania kwa mazao aina nyingi. Tunalima kwa tabu sana. Tunawauzia Kenya kwa bei ya chini kwa faida kidogo,muda mwingine hasara,kama Alizet,mahindi n.k.
Kenya wanayafanyia packeging hayo mazao wanabandika nembo za Kenya kama yamezalishwa Kenya. Wanauza masoko ya ulaya na Asia kwa bei kubwa,faida mara 4 ya mkulima.

Ukija kwenye Elimu. Wamesoma vizuri na Elimu yao iko juu kuliko yetu

Kwa kizazi cha sasa wenyewe wanaona hapa hapa tu kwa Diamond na Homonise kuizidi Kenya kimuziki. Kuna maisha zaidi yanahusiana na watu wengi kwa ujumla ndio muhimu uyaona hayo.
Kenya wametuacha mbali sana.
 
My father, Churchill Show(mc trick), ukabila, maumau, KSh, n.k
 
Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu

Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?

View attachment 3004170
Nikisikia neno Kenya inanikumbushia demu wangu wa kikenya niliemtoa bikra
 
Mwanachuo mkuu ,hall I Block E ..Kona y mauaji!
Kipindi hicho kulikuwa na wanafunzi waliokuwa wakimiliki TV?

Kuna watu wameifaidi sana hii nchi!

Miaka hiyo sisi tulikuwa tunazionea kwenye kumbi za kulipia. Sijui kiingilio kilikuwa sh 100? Kitu kama hicho, au pungufu . Ilikuwa sh 100 au hamsini hivi.
 
Walikuwepo dogo... Uoishawi ona TV ya Mbao🤭🤭🤭! Jamaa mmoja alikuwa nalo , linashika channel Si mchezo! Halafu ilikuwa na inbuilt antenna kama Radio ya Mkulima! Halafu , nukuulize swaliisije ikawa wewe ni2000! Ninayokusimulia zikawa hekaya
 
Ndiyo! Ilikuwepo kwenye baa moja Kijenge Chini, Arusha. Lakini yenyewe picha zake zilikuwa black and white.

Miaka hiyo, watu waliokuwa na TV kijijini kwetu walikuwa wachache sana. Walionekana ni matajiri. Ndiyo maana nimeshangaa kwamba kipindi hicho kulikuweko na wanafunzi waliokuwa wakimiliki vitu vya kifhahari kiasi hicho.

Nakumbuka wakati wa kombe la dunia 1998 tulikuwa tukienda kurundikana kwenye duka moja Mtaa wa jirani kufuatilia huo mchuano, kwa hiyo wakati mwingine tulikuwa tukilazimika kukatisha mitaa Usiku kwenda kuangalia tv Kijiji cha jirani.

Sasa kama kipindi hicho kulikuwa na mwanachuo aliyekuwa na tv, wakati hata diwani wetu hakuwa nayo, lazima nishangae.
 
Walikuwepo dogo... Uoishawi ona TV ya Mbao🤭🤭🤭! Jamaa mmoja alikuwa nalo , linashika channel Si mchezo! Halafu ilikuwa na inbuilt antenna kama Radio ya Mkulima! Halafu , nukuulize swaliisije ikawa wewe ni2000! Ninayokusimulia zikawa hekaya
Mkuu, watoto wa 2000 ndiyo wanaopaswa kusimuliwa hayo kwa ufasaha ili wajue tulikotoka.

Funguka tu mkuu maana wamo wengi humu.

Watajuaje wasiposimuliwa na walioyaishi hayo maisha?

Hata hivyo wewe ni mkubwa wangu maana mara yangu ya kwanza kupiga kura ilikuwa mwaka 2000. Ulitangulia kuona jua kabla yangu hivyo ulishayaona ambayo sijayaona.
 
Mwaka 2000 nilikuwa natembea n bahasha maeneo ya Posta kusaka kazi..baadaye nkagundua bila computer literacy sitoboi ,nkamwomba Hela mshikaji mmoja,nikalipia Chuo kimoja pale Buguruni🤭. ..rahisi ghali! Tulikuwa tunafundishwa Computer moja watu wanne ,nilimaliza wiki 2 bila kujua chochote ,nkaishia kupata cheti! Sin uhakika kama kilinisaidia kupata kazi au la! Ila nafikiri hakikusaidia Kwa sababu hata Wizara niliyobahatika kupata kazi..nilikuta Ndio wako kwenye transition kutoka type Writer kuingia kwenye Computers! Tusije hama mada...Kenya wametuzidi mbali siku nyingi!
 
Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu

Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?

View attachment 3004170
Nikisikia kenya kitu kinakuja akilini mwangu ni Poverty,corruption,,malnutrition and miraa
 
tuache unafiki hayo yaliyo andikwa hapo labda wasanii na vivutio ila kuanzia uongozi ni miyeyusho tu mataputapu
 
Back
Top Bottom