Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli. Ukitaja tu Tanzania ukiwa Kenya kinachowajia kichwani mwao ni nchi ya WAOGA,WAJINGA,WASIOJUA CHOCHOTE. Hata rais wao wa zamani mzee JOMO KENYATA aliwahi kusema WaTanzania ni maiti hawawezi kujitetea.Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu
Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?
View attachment 3004170
Mwanachuo mkuu ,hall I Block E ..Kona y mauaji!Ulikuwa mwanachuo au mtumishi UDSM?
Nikisikia neno Kenya inanikumbushia demu wangu wa kikenya niliemtoa bikraKwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu
Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?
View attachment 3004170
Kipindi hicho kulikuwa na wanafunzi waliokuwa wakimiliki TV?Mwanachuo mkuu ,hall I Block E ..Kona y mauaji!
Walikuwepo dogo... Uoishawi ona TV ya Mbao🤭🤭🤭! Jamaa mmoja alikuwa nalo , linashika channel Si mchezo! Halafu ilikuwa na inbuilt antenna kama Radio ya Mkulima! Halafu , nukuulize swaliisije ikawa wewe ni2000! Ninayokusimulia zikawa hekayaKipindi hicho kulikuwa na wanafunzi waliokuwa wakimiliki TV?
Kuna watu wameifaidi sana hii nchi!
Miaka hiyo sisi tulikuwa tunazionea kwenye kumbi za kulipia. Sijui kiingilio kilikuwa sh 100? Kitu kama hicho, au pungufu . Ilikuwa sh 100 au hamsini hivi.
Ndiyo! Ilikuwepo kwenye baa moja Kijenge Chini, Arusha. Lakini yenyewe picha zake zilikuwa black and white.Walikuwepo dogo... Uoishawi ona TV ya Mbao🤭🤭🤭! Jamaa mmoja alikuwa nalo , linashika channel Si mchezo! Halafu ilikuwa na inbuilt antenna kama Radio ya Mkulima! Halafu , nukuulize swaliisije ikawa wewe ni2000! Ninayokusimulia zikawa hekaya
Mkuu, watoto wa 2000 ndiyo wanaopaswa kusimuliwa hayo kwa ufasaha ili wajue tulikotoka.Walikuwepo dogo... Uoishawi ona TV ya Mbao🤭🤭🤭! Jamaa mmoja alikuwa nalo , linashika channel Si mchezo! Halafu ilikuwa na inbuilt antenna kama Radio ya Mkulima! Halafu , nukuulize swaliisije ikawa wewe ni2000! Ninayokusimulia zikawa hekaya
Samahani mie sijabaki
Mwaka 2000 nilikuwa natembea n bahasha maeneo ya Posta kusaka kazi..baadaye nkagundua bila computer literacy sitoboi ,nkamwomba Hela mshikaji mmoja,nikalipia Chuo kimoja pale Buguruni🤭. ..rahisi ghali! Tulikuwa tunafundishwa Computer moja watu wanne ,nilimaliza wiki 2 bila kujua chochote ,nkaishia kupata cheti! Sin uhakika kama kilinisaidia kupata kazi au la! Ila nafikiri hakikusaidia Kwa sababu hata Wizara niliyobahatika kupata kazi..nilikuta Ndio wako kwenye transition kutoka type Writer kuingia kwenye Computers! Tusije hama mada...Kenya wametuzidi mbali siku nyingi!Mkuu, watoto wa 2000 ndiyo wanaopaswa kusimuliwa hayo kwa ufasaha ili wajue tulikotoka.
Funguka tu mkuu maana wamo wengi humu.
Watajuaje wasiposimuliwa na walioyaishi hayo maisha?
Hata hivyo wewe ni mkubwa wangu maana mara yangu ya kwanza kupiga kura ilikuwa mwaka 2000. Ulitangulia kuona jua kabla yangu hivyo ulishayaona ambayo sijayaona.
Khaa, Unadanganya cute, wakenya hatuendekezi ushogaNo offense
Kenya=Ushoga
Nikisikia kenya kitu kinakuja akilini mwangu ni Poverty,corruption,,malnutrition and miraaKwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu
Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?
View attachment 3004170
ww ulirogwa 😂😂😂Nikisikia kenya kitu kinakuja akilini mwangu ni Poverty,corruption,,malnutrition and miraa
KunyaaaKwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu
Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?
View attachment 3004170